10/05/2026
Hi Dee please hide ID, ebu niulizie dawa ya kaswende ni gani? kuna uu jamaa aliniambukiza kaswende ingine hatari, imekataa kupona, nimeenda hosi dawa nimepewa but bado siponi, its been 3 months now, aki naumia. .
Nataka tu dawa, ata k**a ni pesa ngapi I'll pay nikuwe sawa, cos weeh its been bad. . plz nisaidie? Cos ii ni shida ingine kubwa nimejiletea, staki kupeana as a way of revenge but nikipona ivi mimi kupanulia mtu miguu sitawahi.. Please nisaiidie