21/11/2025
MITHALI 3:3-4
Rehema na kweli zisifarakane nawe;zifunge shingoni mwako,ziandike juu ya kibao cha moyo wako....ndivyo utakavyo pata kibali mbele za Mungu,na mbele ya mwanadamu...........
Siku njema wapendwa...