Papaa Adesh #003 presenter

Papaa Adesh #003 presenter Doing mc in any ceremony mcing that the work

Kuna tofauti ya gari na usafiri  did it all.
08/05/2026

Kuna tofauti ya gari na usafiri did it all.

The waiting time is over, malindi deserve better leadership and Hon. Oscar Wanje can do it
10/04/2026

The waiting time is over, malindi deserve better leadership and Hon. Oscar Wanje can do it


kwani Manu Bayaz mwenyewe anasemaje?
07/03/2026

kwani Manu Bayaz mwenyewe anasemaje?

26/02/2026

Hon. Aisha Jumwa Katana makavu kwa HON. OWEN BAYA FOR KILIFI NORTH MP 2027

26/02/2026

Stephen Karisa Kenga kwenye hili tumuunge mkono.

Princessfynick

K**a umekuwa ukimfatilia huyu Stephen Karisa Kenga kwa maongezi na mipango aliyo nayo kwa wanakilifi, hauna sababu ya ku...
25/02/2026

K**a umekuwa ukimfatilia huyu Stephen Karisa Kenga kwa maongezi na mipango aliyo nayo kwa wanakilifi, hauna sababu ya kutompigia kura.
Princessfynick

Stephen Karisa Kenga, KAHOCHO, ana ufahamu mkuu katika maswala ya kisiasa na uchumi, ambapo katika eneo zima la jimbo la...
24/02/2026

Stephen Karisa Kenga, KAHOCHO, ana ufahamu mkuu katika maswala ya kisiasa na uchumi, ambapo katika eneo zima la jimbo la kilifi ni nadra sana kupata mwana siasa k**a KAHOCHO. Akiongezea na ari yake yakutaka kumsaidia mwananchi Wa kilifi, anasimama mahali pazuri pa Kuwa mgombea bora Wa Kiti cha senete. Sio kila anae piga mbwembwe na jazha nyingi ndie muwaniaji bora katika kinyang'anyiro, na sio kila wakili anae nunuliwa kushinda kesi ni mtunzi Wa Sheria bungeni la hasha.

Mtu ni watu Apewe. KAHOCHO all the way

If we talk about game changer then  Karisa he is and I give him the crown.If you will agree with me we haven't seen our ...
21/02/2026

If we talk about game changer then Karisa he is and I give him the crown.
If you will agree with me we haven't seen our Senator coming to the ground and have a meeting with wanainchi and have the so called discussion with them for the last 3 to 4 years, beeing confident that there is no one will come and oppose him because he believes he has numbers, but now the narrative has changed after showes interest of the sit.
My question is, IS THE PRESSURE INCREASING OR DECREASING?

Princessfynick


17/02/2026

K**A IMEKUSHINDA ENDA NYUMBANI!!!!!!!
Stephen Karisa Kenga Awahakikishia wakaazi wa kilifi kulinda Pesa za Kunti ya Kilifi atakapo chaguliwa k**a Seneta wa kaunti hiyo, hasa kwenye sekta ya Afya, Akisema atahakikisha Gavana anawajibika vilivyo na akishindwa na kazi ajihuzulu.

Mwaniaji wa kiti cha Useneta Kaunti ya Kilifi Stephen Karisa alimaurufu Kahocho, ameahidi kulinda pesa za wanainchi wa K...
16/02/2026

Mwaniaji wa kiti cha Useneta Kaunti ya Kilifi Stephen Karisa alimaurufu Kahocho, ameahidi kulinda pesa za wanainchi wa Kilifi atakapochanguliwa k**a Seneta wa kaunti hiyo akiongeza kuwa hatasalia kwenye kutekeleza majukumu k**a Seneta bali atazidi kuendeleza kutoa misada kwa wakaazi wa Kilifi.

Address

MOMBASA
Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Papaa Adesh #003 presenter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Papaa Adesh #003 presenter:

Share