Yusuph

Yusuph Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yusuph, Art, Mombasa.

GUY'S TUACHENI UPUMBAVU,UJINGA NA USHAMBA🙄🙄UNAMSEMA MTU KWA WATU KWA KUMCHAFUA KUTUMIA TAITOR YA JINA LAKO🤔🤔HUKUMBUKI NI...
27/04/2025

GUY'S TUACHENI UPUMBAVU,UJINGA NA USHAMBA🙄🙄

UNAMSEMA MTU KWA WATU KWA KUMCHAFUA KUTUMIA TAITOR YA JINA LAKO🤔🤔

HUKUMBUKI NILIBEBA MAKOSA YAKO HATA IKAFIKA HATUA NIKASITISHIWA MAJUKUMU YANGU KISA KULINDA ID YAKO????

INAKUWAJE UMESAHAU NA KUANZA KUROPOKA?????

USICHO KIJUA NIKUWA
NINA USHAHIDI WA MAANDISHI NA VIDEO CALL NA PICHA ZENU,

NAWEZA KUKUANIKA NA KUKUHARIBIA VIBAYA MNO KILA KITU KIKO KWANGU

HABARI YA KUWEKA MIMBA HUYO BINTI WA WATU TENA AKIWA MDOGO MWENYE KUTAFUTA MAISHA YAKE AKAZALIE KWAO UMESAHUA???????

ETI MKUU MTU MKAMILIFU UMESAHAU?????
UNAKUMBUKA MABAYA YA WATU NA KUSAHAU YA KWAKO???

JE KUHUSU MAZUR YAOOOO NA JUA KALI WAKATI WA MSOTO UMESAHUA???

NIKUULIZE TENA MTU MKAMILIFU
👇👇👇
HABARI YA ILE HOTEL KULE BAHARINI UMESAHUA???
(USISAHAU KUFANYA CHECK UP 🥲🥲🥲🥲)

MAKOSA YAKO NILIBABEBA
LAWAMA ZAKO NILIBEBA LEO HII
UNAANZA KUNISEMA VIBAYA HUON HATA AIBU???

UMENIZIDI NA UMENIPITA MBALI
KUNISEMA KWA KUTENGENEZA UAMINIFU WAKO NI KUWADANGANYA WATU NA KUMKOSEA MUNGU

UNADHANI HAIKUNIUMA NILIVOBEBA LAWAMA ZAKO NA KUTUMIKIA ADHABU YA KUPUNGUZIWA MAJUKUMU YANGU

PLEASE PLEASE NIISHIE HAPA KWALEO!
SITAK UJINGA SITAK UPUMBAVU NA WEWE

UNASAHAUA KUWA UNA MISUMENO NA HIYO MISUMENO ITAKUJA KUKUKATA MWENYE

Akiii Mungu asante kwa kila kitu kwa hii maisha yangu
08/01/2025

Akiii Mungu asante kwa kila kitu kwa hii maisha yangu

30/12/2024
Kutana na Dada G.Uyu mrembo 👇ni uzao wangu wa kwanza,Nimiongoni mwa watoto wenye kifafa(Epilepsy).Si safari nyepesi hata...
27/02/2024

Kutana na Dada G.

Uyu mrembo 👇ni uzao wangu wa kwanza,
Nimiongoni mwa watoto wenye kifafa(Epilepsy).
Si safari nyepesi hata kidogo na ukizingatia sio matarajio ya mama yoyote yule.

Kuna nyakati utajikuta wewe na hospital, hospital na wewe,wewe na vitanda vya hospital vitanda vya hospital na wewe,lazima ukikubali iki kipindi pia.

Uelewa mdogo ndani ya jamii zetu kuhusiana na watoto wenye kifafa,hupelekea kujikuta katika madhira makubwa ndani na nje ya familia,kukimbiwa na baba mtoto,kutengwa,kusemwa vibaya,
Utajiisi unyonge K**a mama,utaliaa na ukisikia kulia we liaaa tu,ukimaliza futa machozi mkumbatie mwanao.Kuna nyakati kuwa IMARA SI CHAGUO TENA BALI NI LAZIMA.

Wababa:ii sio laana,sio nuksi,sio mikosi msikimbie majukumu.
Jamii: hatuna sababu ya kuwafanyia watoto wetu izo Imani mnazo Amini,Wala hatushiriki upotofu wa uharibifu kwa watoto.MNATUUMIZA.

Iii ni BARAKA pia ambayo MUNGU ameamua kutuzawadia.

Tusiwafiche,tuwape sababu ya kufurahi ni wakwetu.

27/02/2024
✍️✍️
#

21/02/2024

Happy birthday

Art

Focus yanayo kuhusu mengine waachie waoo   But linda imani yako juu ya kile unachokiamini 🌜🌛
05/02/2024

Focus yanayo kuhusu mengine waachie waoo




But linda imani yako juu ya kile unachokiamini
🌜🌛

Jitahid ufanye kile unachokiweza Ogopa na usijaribu kufanya usichoweza 🌂🌂
26/01/2024

Jitahid ufanye kile unachokiweza

Ogopa na usijaribu kufanya usichoweza
🌂🌂

Kwa sababu ya watu tulifanywa kuwa wazuri na kwa sababu ya watu tumefanywa kuwa wabaya!
26/01/2024

Kwa sababu ya watu tulifanywa kuwa wazuri
na
kwa sababu ya watu tumefanywa kuwa wabaya!

Guys jichangulie life lako unalo ona lina kupa furaha nenda naloPunguza kushauriwa Focus your vision Mengine waachie wao...
24/01/2024

Guys jichangulie life lako unalo ona lina kupa furaha nenda nalo

Punguza kushauriwa
Focus your vision

Mengine waachie waooo

PIOM DAR ESAALAM ABUDU pamoja NASI
13/12/2021

PIOM DAR ESAALAM ABUDU pamoja NASI

PIOM CHURCH ABUDU PAMOJA NASI NJOO TUMUABUDU HALISI MUNGU ANAE ONGEA MUNGU ANAEJIBU KWA MOTO MUNGU ANAE BADILISHA MAISHA...
19/09/2021

PIOM CHURCH ABUDU PAMOJA NASI

NJOO TUMUABUDU HALISI
MUNGU ANAE ONGEA
MUNGU ANAEJIBU KWA MOTO
MUNGU ANAE BADILISHA MAISHA YA WATU

Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yusuph posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category