Watanashati classic ent

Watanashati classic ent We do events,We sign artist, Branding,marketing, publicity

Kazi mpya kutoka kwa Msanii Nassizu Murume all the way from watanashati Hii itakupa mawazo sana
09/12/2016

Kazi mpya kutoka kwa Msanii Nassizu Murume all the way from watanashati
Hii itakupa mawazo sana

after churchill on the road meru where i was discoverd by churchill and then on all white party churchill show with alikiba now i come with my song mawazo en...

Wakati tulikuwa tunaanza Mziki tulipitia mengi ilaSiku hizi Likitajwa tu Jina wengi Wanashangilia Wengine furaha inawazi...
21/10/2016

Wakati tulikuwa tunaanza Mziki tulipitia mengi ila
Siku hizi Likitajwa tu Jina wengi Wanashangilia
Wengine furaha inawazidi hadi wanalia


Eh bwana ,,unajua ni vipi??? Mda huu ni kuhama na kijiji chote cha meru na mikoa yote iliyo karibu na meru, hadi wapi???...
18/10/2016

Eh bwana ,,unajua ni vipi??? Mda huu ni kuhama na kijiji chote cha meru na mikoa yote iliyo karibu na meru, hadi wapi????tulia kwenye Mwariama tv kwenye signet Startimes na gotv yako,,show ni around Africa kuanzia mida ya Tisa kamili hadi kumi na moja kila siku ya jumatatu hadi ijumaa,,na mkali wao anthony Tambala ukipenda thony touch,,burudani Kali one on one na ma star uwapendao ,,kuna segment ya mitaa na habari kibao ya kile kinacho jiri kwenye burudani ,interviews za ma superstars,hii usikooose...tunasemaaa hainaga ushemeji .kip it Mwariama tv from 3pm hadi baadae naye anthony Tambala .

And Phantom 4 Dji imeland Meru sasaWasanii Video zetu sasa quality iko nyumbani Watanashati bringing quality to the indu...
05/10/2016

And Phantom 4 Dji imeland Meru sasa
Wasanii Video zetu sasa quality iko nyumbani
Watanashati bringing quality to the industry
K**a ukona harusi pia ama event yeyote na unataka We do coverage basi Contact Kayfar Watanashati


Long time ago
25/09/2016

Long time ago

Pendeza kitanashati 1000/ksh Pekee Piga simu Weka order yako
14/09/2016

Pendeza kitanashati
1000/ksh Pekee
Piga simu Weka order yako

Enzi  zile Tukianza Anza
14/09/2016

Enzi zile Tukianza Anza

Address

Meru
254

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watanashati classic ent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share