01/06/2022
HAPPY MADARAKA DAY
Jua limeshaangaza,angani limechomoza
Hewani limepenyeza,machoni linapendeza
Siku njema tulopeza leo imejitokeza
Mola twamtukuza,uhai katuingiza
kenya yetu ameikuza,bei ya vyakula wakakweza