This is Malindi

This is Malindi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from This is Malindi, Arts and entertainment, Malindi.

TUNACHAKURA MA FILE tukandondokea file ya mkali wa michano kutoka Malindi MIKE MONSTER
25/05/2026

TUNACHAKURA MA FILE tukandondokea file ya mkali wa michano kutoka Malindi MIKE MONSTER

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Malindi Kenya watundika logo mpya kwenye page yao
12/01/2026

Malindi Kenya watundika logo mpya kwenye page yao

Mbunge Hon. Amina Mnyazi - M.P Malindi apanga tamasha kubwa la wasanii kutoka eneo lake akishirikiana na gavana wa kilif...
28/03/2025

Mbunge Hon. Amina Mnyazi - M.P Malindi apanga tamasha kubwa la wasanii kutoka eneo lake akishirikiana na gavana wa kilifi Gideon Maitha Mung'aro huku wakilenga kuenua tasnia hiyo inayowapa vijana ajira. Tamasha hilo linalokwenda kwa jina Malindi Music Award linalonuiwa kufanyika mwezi August mwaka huu linatarajiwa kuzawadia wasanii zaidi ya 30 huku kila nyanja ya mziki ikipata washindi watatu. Maelezo ya vipi utajiunga na zawadi za washindi yatatolewa mwezi wanne mwaka huu.
Asante sana kiongozi Amina Mnyazi pamoja na baba wa jimbo mstahiki gavana Mung'aro.

Hivi ni juzi tu raisi wa Marekani alipinga ndoa za jinsi amoja huku akisema ziko kinyume na maumbile ya Mungu, huku kwet...
29/01/2025

Hivi ni juzi tu raisi wa Marekani alipinga ndoa za jinsi amoja huku akisema ziko kinyume na maumbile ya Mungu, huku kwetu Malindi Kupitia kurasa ya Malindi showbiz 003gossip club msanii Yte kiid 254 aanikwa kwa kumkataa Arya Kijana aliyejitambulisha wazi kuwa kwenye kundi hilo la LGBTQ. Ungekuwa ni wewe umepata nafasi hiyo yakubadilisha maisha ila umkubali kijana mwenzio ungefanyaje?

Ni msanii gani wa Malindi ulimshabikia lakini kwa sasa haimbi tena?
28/01/2025

Ni msanii gani wa Malindi ulimshabikia lakini kwa sasa haimbi tena?

Kifanywe nini kuamsha mziki wa Hip Hop tena?
28/01/2025

Kifanywe nini kuamsha mziki wa Hip Hop tena?

Leo ni Super Tuesday tunapeana shavu kwa link na mitandao ya wasanii na wanabiashara wetu kutoka hapa hapa Malindi.Super...
28/01/2025

Leo ni Super Tuesday tunapeana shavu kwa link na mitandao ya wasanii na wanabiashara wetu kutoka hapa hapa Malindi.
Super link ya leo ni ya mtangazaji wa LULU FM RADIO na Mc mkubwa Malindi Kenya Mc King'ori
Ni muandaaji wa Kilta Gospel award na amechangia pakubwa kwenye tasnia hii ya mziki wa injili na kuufanya uchangamke.
Like ili usambaze upendo
https://www.facebook.com/mckingori

Hivi PillarWorks imefungwa au tuache maneno sababu hatuna lawyer 🤣🤣🤣
26/01/2025

Hivi PillarWorks imefungwa au tuache maneno sababu hatuna lawyer 🤣🤣🤣

David Mafishy arudi Radio Jahazi 87.7
26/01/2025

David Mafishy arudi Radio Jahazi 87.7

Address

Malindi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when This is Malindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share