22/11/2023
Juzi kuna jirani spa kwa mkodisho alinitel nipunguze sauti ya redio ju ywataka kulala
Leo akawa anapika chapati nikamtel apunguze harufu ju nataka kula sahi Yuko kwa land load anadolve kesi ju sipendwi ujinga