Spreadout Entertainment

Spreadout Entertainment Top leading entertainment organization giving the best training, quality event sound systems, DJs, MCs, Video & photography coverage 0745148814

Djs Will never skip πŸ’–
20/08/2025

Djs Will never skip πŸ’–

Your favourite female dj ❀️
20/08/2025

Your favourite female dj ❀️

17/07/2025
Making them dance. Enjoy our events services πŸ”₯❀️
17/07/2025

Making them dance. Enjoy our events services πŸ”₯❀️

We are Spreadout Entertainment ❀️
17/07/2025

We are Spreadout Entertainment ❀️

Who is the king of short skits comedy kati ya flaqo na mbili mbili?
25/11/2024

Who is the king of short skits comedy kati ya flaqo na mbili mbili?

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π„πŒπ€ πŸπŸπ“π‡ π‰π”π‹π˜ Follow | Spreadout Entertainment πŸ‘‡ππ€π‘π“ 𝟏 Ian walibaki home na Cate na hata Cate ashampea kajuic...
22/07/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π„πŒπ€ πŸπŸπ“π‡ π‰π”π‹π˜
Follow | Spreadout Entertainment πŸ‘‡

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Ian walibaki home na Cate na hata Cate ashampea kajuice Ian akunywe hadi Ian akamuuliza,why? Mbona unanijali sana hivi na najua hututaki huku? Cate akamwambia zii, usijali ni venye kitambo tulikua na issues but saui tushasolve kila kitu kiko sawa.

Huku kwa polisi nakwo,wale magaidi waliitwa wote wakaekwa line na Neema akaulizwa anasema ni nani alikua anawachapa. Neema hakumbuki kila mtu but anakumbuka kamzee fulani akakataja kisha Jojo kumbe alikua keen akachose chose vijana wengine hapo na wote,wakaingia ndani. Washakua wageni wa serikali

Cate washakua mabeshte na Ian hadi Cate akaamua kupea Ian kahadithi fulani akamwambia zamani za kale kuna msichana alikua anatoka kwa familia ya kitajiri sana na alipendana na kijana mmoja anaitwa Tom. Cate,hii ni story yake anampea Ian but hamwambii ni yeye anahepa hepa. Akamwambia huyo msichana,babake hakua anataka aoleke an huyo kijana ju ni maskini kabidi wapange waepe but before wahepe,kitu mbaya ikahappen na wakaoteleana. Acha sasa tuone nini kilifanyika ndio Tom na Cate wakahepa.

Tom aliishi kuambia Cate,akimaliza shule atakua daktari na waende hukoo waishi maisha yao laini sijui what happened,Tom akajipata kwa mjengo,ndoto za daktari zikaishia hapo but still hakuacha kupenda Cate. Tom hata k**a akiwa kwa mjengo,still hakua na amani ju hakua na legal papers za kufanya kwa mjango hadi inabidi wakaguzi wakija Tom ajifiche.

Turudi polisi kiasi,Neema na Mark wamekuja kuandika statement,lakini wakati Mark wanataka kuondoka,kesi ingine ikaletwa kuhusu Mark hadi karao akaambia Mr Mark,ngoja kiasi nik**a umeshtakiwa kwa kuchapa mzee fulani lakini Mark aliambia karao ndio,I did it and I will do it again,huyo mzee alitaka kunajizi Neema na k**a anataka tufanye kesi,muite akuje hapa sasa hivi.

Police officer alimcall yule mzee akamwambia ile kesi yako ulileta jana kuhusu Mr Mark yuko hapa na ashakubali mashtaka lakini pia wewe anakushtaki kwa kujaribu kuabususe Madam Neema.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Kamzee kalipigiwa simu kakaambiwa lazima kakuje kuandikisha statement lakini kamzee kalikataa,kakasema hata yeye ni bibi yake alimforce kuandika statement lakini hataki kesi yeyote and he withdraws the caseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mark alijua,hakuna venye kamzee kangekubali hii kesi iende pahali ju kako na makosa and just like that,Mark is innocent,Neema is innocent but chenye hawajui ni Sharon ndio alifanya hii plans zote.

Turudi kwa Cate,kastory ndio kanaisha isha lakini punde si punde,Sharon akabisha Cate akauliza ni nani? Sharon akasema ni yeye but Ian akamuwarn Cate,akamwambia sikiza,wale wenye walituattack ni majirani wetu,so Sharon pia ni jirani yetu but Cate akamwambia usijali,nitadeal na hii.

Kumbe Sharon alikua amekuja bila kujua nyuma amefuatwa na Isabella. Walikuja wakakaa an Sharon akaanza mshene kuhusu Neema,anaambia Cate sikiza, Neema alideserve hiyo kichapo hadi Cate akamwambia wee,utafanya mtoto asikie venye unaongea kuhusu mamake lakini Sharon akamwambia ni ukweli,Neema either achange ama aondoke. Cate akamwambia enyewe ni kweli,niliambiwa uko very dangerous na naona indeed you are dangeruous. Cate sasa ashaanza kujua hawa Sharon ni manyoka sasa.

Isabelle kwanza aliambia Cate,hii kitu imefanyika,na venye najua Mark,atalipiza na anyone mwenye alivamia nyumba yake. Cate akakumbuka venye Mark alimwambia,if anything happens kwa hii nyumba,they will have a different conversation. Mark,wako kwa barabara wanakuja.

Cate aliambia Sharon,walai najuta kukutrust kabisa lakini Sharon akamwambia unacomplain an tunakusaidia utawale na ju hutaki acha sisi na Isabelle tukae tukiangalia lakini Isabelle akamruka akamwambia wee,mimi siko na wewe,Neema na Mark hawana ubaya. Sharon akamuuliza,na mbona basi hukuja kutetea Neema akivamiwa? Isabelle akamwambia si ni wewe ulinikataza,mimi siko na weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚woiye Sharon,lakini shida ni Sharon ashaamua k**a ni kuenda chini anaenda na Cate pia,mako...makosa.

Isabelle alijaribu kuambia Sharon,hii maneno iishie hapa ama urafiki uishe. Sharon akamwambia tu ni sawa but venye tunajua Sharon,huyu atajipendeza kwa Mark amwambia kila kitu ju she want Cate out of Mark's life ndio yeye ajilete hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ian alimuita Cate akamwambia aunty Cate,mum na akina Mark wamefika,mako...makosa. Mark hafai kupata Cate akiwa na akina Sharon huku. Cate alishtuka,hadi akaambia director,cut,twendelee kesho.

Yaani Naomi hadi akajaribu kuchomea Neema Kwa Mark πŸ˜…. Kweli shetani Hana aibuπŸ˜‚πŸ˜‚
09/07/2024

Yaani Naomi hadi akajaribu kuchomea Neema Kwa Mark πŸ˜…. Kweli shetani Hana aibuπŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Machakos Town
Machakos

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Spreadout Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Spreadout Entertainment:

Share