22/10/2024
1:Najua kwa Saša huna hata mwana ila Kwa Mungu Una idadi ya wtano,,leo Acha Nieke huu mkataba tusije onana wabaya!Humu ndani ulikuja nkusitiri japo wewe mzazi wa marehemu.Fanya heshima na adabu zako!!
2:Ukiona naletewa watoto kutoka nje usilete fujo,,wako uliwauwa mwenyewe,kubali kulea wa kwangu Sasa!!
3: Ukimalza miaka 2 hujazaa nakuolea mke mwengne,Ile starehe ulo itafuta ujanani bado utaishi nayo milele!!
4:Hilo umbo ulo nalo k**a unataka liwe ivo milele funga virago mlango ndo ule pale,!!
5:Ulitoa watoto Kwa kulinda umbo Ila ulipo patoa watoto pamezeeka,haya wanangu utawaeka kwenye nyumba ya marehemu,,k**a itatokea una shda la uzazi,utasimamia majukumu hayo, ilikuwa starehe yako hio!!
6:Najua umekubal nkuoe kisa marafiki zako kina Asha Gongo na Mwajuma Komwe wameoleka,ila sio lengo lako kuolewa na mtu Mimi,Sasa Mimi sitotaka tabia zako Zi zaane ndni ya nyimba hii!!
7:Kuishi na Mimi naitaji ukatishe urafiki na hao viranga ranga vyako,msije mkaanza kunsukia mipango yakunipa maumivu!!
8:Sijakupata mwali,kwaio vunja laini yako ya simu nkupee nyengne, number Zi sizid 10,watu wengne wapige huku nkupee,,!!
9:Najua wewe ni muuwaji,,k**a nafsi tano umezitokomeza Mimi sio lolote kwako,,Fanya ibad na utubie,nkikuona unaruka ruka sala bila dharura Zaid ya mara 3 warudi kwenu!!
10:La Mwisho,,Najua huko kwenu ndio uligawa mpka ukawa mama WA marehemus,sitataka uende mara Kwa mara kumbe mwwenda kumbushana enzi ženu,,nzalie ndio Uwe ukienda kwenu,wawaza Nipa mtoto WA jirani nimlee!!Haya eka sahihi ukapika ugali tule!!
Follow my page
Bomzy Entertainment