Willy Mtaani

Willy Mtaani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Willy Mtaani, Comedy Club, Kisii.

17/12/2022

Morning , wangapi wameenda kanisa na sadaaka Leo niwaone πŸ˜‚πŸ˜‚

19/11/2022

Nyasembo kukataa mapenzi bila pesa πŸ˜…πŸ˜…

19/11/2022

Nyasembo kupotelewa na bwana πŸ˜…πŸ˜…

14/11/2022

Unarauka kutafuta job site Fulani ya mjei , unapata bado watu hawako , unajipa motisha ati maybe hawajakam , unawaongoja Hadi saa tatu kumbe kazi ya huku kulisimamishwa , hyo siku unahesabu za kuenda bure 🀣🀣🀣

14/11/2022

W***y : Do you love me really πŸ€”πŸ€”

Moraa : Aki pep I raf you πŸ˜₯ , ko ad as ebun Sibora to ter you de truth πŸ˜₯

14/11/2022

Uko single na sindani ya family planning inafanya Nini kwa mkono yako β˜οΈπŸ˜‚πŸ˜‚

13/11/2022

Unauliza mkale vile wanarelateπŸ˜’πŸ˜’ anakujibu "mama yage na mama yagu ni masiplings πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa sisi ni magazinesπŸ˜‚πŸ˜‚,

🀣🀣🀣
09/11/2022

🀣🀣🀣

Kwanzi lazima nioe , 🀣🀣☝️🀣🀣
09/11/2022

Kwanzi lazima nioe , 🀣🀣☝️🀣🀣

09/11/2022

Buda nakwambia sai hupendwi na watu kufa 2 hvi alfu uwe makini kumchugulilia watu πŸ™„πŸ™„ utapata watu wanakupenda , utaletewa ngombe kwa mashishi yako na watu kukusifu ukishakufa ☝️🀣🀣

09/11/2022

BrushπŸ–ŒοΈ your teeth🦷🦷 after every meal,but wapata watu hubrush every morning . Kwani after every meal is another name of every morning πŸ€”πŸ€”πŸ€”

09/11/2022

Niliota usiku ati Niko na Doo mingi karibu milioni 5 hivi πŸ‘Œ, nashtukia na magazetimingi kutoka paani , nafinywa vibaya Sana . Next time sitakubali ndoto inidanganye Tena hvo πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Address

Kisii

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Willy Mtaani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category