10/12/2024
Aki ushago ni kufunny sana
Hapo kwa kitchen unapata sukari kwa mkebe ya panadol .chumvi kwamkebe ya roycomafuta ya kupika kwa chupa ya energyunga kwa ndoo ya omo surelysasa hapa ndio kuna ngori,una enda maji ya kuoga unapeleka nyuma ya nyumba una kumbuka ujachukua sabuni una enda kuletakurudi unapata ngombe imekunywa majiunakimbia mtoni kuleta maji ingine kurudi unapata mbuzi imekula sabuni 😹😹😎
Please follow