21/05/2026
NDOTO NA MAANA ZAKE
1.Kuota unapigana......vita vya kiroho
2. kuota unaanguka kutoka juu adi chini....kupoteza udhibiti/ kushindwa
3.kuota maji safi.... utakazo
4.kuota maji chafu/ mafuriko.... shida zinakuja