Kabras classic band

Kabras classic band Super artists for kabras classic songs and luhy hits from Kabras in Malava Subcounty kakamega county, Kenya
(3)

FT.πŸ”ΆKenya U17 3-1 South Africa.Tuko Ndani wadau ! Congratulations ! πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ ! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Wow ! we are Glad 😊 😊 we are Happy ! Let...
12/07/2026

FT.
πŸ”ΆKenya U17 3-1 South Africa.

Tuko Ndani wadau ! Congratulations ! πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ ! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Wow ! we are Glad 😊 😊 we are Happy !

Lets show love by Congratulating our Queens please πŸ₯°

Congratulations πŸ‘ again Congratulations πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘

Kabras artists wako area
12/07/2026

Kabras artists wako area

12/07/2026

Mayi mutiti

Jeremiah 1:8 usiogope  kwa sababu ya hao maana mimi nipopamoja nawe nikuokoe,asema BWANA.
12/07/2026

Jeremiah 1:8
usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipopamoja nawe nikuokoe,asema BWANA.

Lero nimeamua kuwasuprise ..Kila la heri kwenu kwa mwenye bidiπŸ’ͺ
11/07/2026

Lero nimeamua kuwasuprise ..Kila la heri kwenu kwa mwenye bidiπŸ’ͺ

semeni Tu ukweli mungu anasoma nyinyi
11/07/2026

semeni Tu ukweli mungu anasoma nyinyi

Hi miwa ni variety gani
11/07/2026

Hi miwa ni variety gani

Huyu jamaa ameanguka hapa alikuwa chairman wa bodaboda pale Congo Kawangware aliamka kitu Saa kumi asubuhi Leo kuingia K...
11/07/2026

Huyu jamaa ameanguka hapa alikuwa chairman wa bodaboda pale Congo Kawangware aliamka kitu Saa kumi asubuhi Leo kuingia Kazi k**a kawaida, Bila kujua ilikuwa siku yake ya mwisho hapa Duniani, vijana wenye wamekuwa wakisumbua sana hii mtaa ya kawangware wanaitwa 'Ratty Gang' wanasemekana walimvamia hapo karibu na huduma school na kumdungadunga visu mpaka mara ikatoka nje na kufa hapo kwa hapo. Kisha vijana wakapotea na nduthi yake. Ni uchungu sana, poleni sana familia, ndugu na marafiki wa mwendazake.

11/07/2026

1 acre of sugarcane 8 months old N14 variety and another 1 acre 4 months old the some variety on sale,
for information call on 0732476512

Bad news jamaa amepatikana asubuhi ya leo k**a ameuwawa kambi ya mwanza
11/07/2026

Bad news jamaa amepatikana asubuhi ya leo k**a ameuwawa kambi ya mwanza

Address

Malava
Kakamega

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254703883400

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kabras classic band posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Kabras classic band:

Shortcuts

Share