15/09/2021
*THE TWINS PART 2😋🔥..*
''Unaeza nifunza'' skating?...Boooooom😋😅😅..Akanisho tumeet kitu 3 p.m kwa paths za kuskate😅..Nkaenda pale you tube mbio mbio nkacheck tutorial za kuskate😅..Nkaona hii kitu unaeza make ni simple,so katambe..Ikafika 3 nkatoka kejani nkaishia kumeet Ann😋..Kufika nkapata already ashafika ,,kumbe alikua ameleta skating shoes nami tutorial nlikua naangalia ni za kuskate na board😅😅,,boy child under siege..Sikupanic hata..nkaenda nkamgotea na hug,anybody can gerrit😋..(Campo hakunanga kusalimia opposite gender na mkono na handshake ya Unye na Tinga😅) halafu akanipa skating shoes,mwalimu 😅😅..And then akaniambia..
''Ann amesema anakam in 10 minutes time😋''Boooooooooom😅😅😅..Kumbe huyo alikua yule sistake twinnie..Nkakua perplexed (Tafuta dictionary gasia) hadi karibu hizo viatu zianguke😅😅..
Me:Wow,mnafanana kabisa hadi nmechanganyikiwa😋..unaitwaje by the way?
Ann twinnie:Naitwa Anastacia(Boooom😅), we je?
Me:(Me,did you ask my name baby😅😅) Naitwa Willy,,Ann ni beshte yangu..
Anastacia:Oooh,alinisho unajua kuskate so pia nataka kujua,si utanifunza willy😋?( shetani amekuja na Christmas😅😅)..
Me:Kuskate,mimi sij..as in k**a ingekua skat...saa hii,,as in nikufunze saa hii ama?(😅😅😅kajasho kembamba kakanitoka)..
Anastacia:Ee,like right now,siz akija apate tushaanza😋..
Me:Sawa basi, no problem...
But in my mind nlikua najua there was a very big problem😅😅..My good conscious ilikua inaniambia ''sema tu ukweli haujui skating na hautakufa imagine😅😅''..But my fisi conscious ilikua inaniambia..''Oooh boy,umefanya nini😅,you need to do something😅,quick right now,you are f**ked up,goo,,nowww😅😅''
Nkafikiria na ujanja nkaambia Anasatacia avae hizo viatu nianze na kumpa support akiskate apate balance kwanza😅😅,as if I knew.Anastacia akafikiria and in my mind I was like..''Please say yes,you have to say yes,,please do''😅😅..Halafu shetani akanivulia nguo Anastacia akasema mimi niskate kwanza ndo nimshow😅.
LIKE, COMMENT AND SHARE