Wamocha classic 254

Wamocha classic 254 Am Wamocha classic from western Kenya bungoma county end am a comedian script writing and etc

Watu wa SIKHENDU WARD 2027 MCA WENU mutarajiwa ndio uyu apa Sasa pigieni yeye simu 0721433473 na umwambie ungependa akuf...
19/07/2025

Watu wa SIKHENDU WARD 2027 MCA WENU mutarajiwa ndio uyu apa Sasa pigieni yeye simu 0721433473 na umwambie ungependa akufanyie Nini na k**a wewe unafanya kazi yoyote yenye inausika na construction Muambie unaeza saidika πŸ‘
Kinanjui Mca sikhendu word

Unaeza ambia Nini uyu mayi wa nabwilee kulingana na ile shuguli yenye Ako nayo kwa siku ya kesho πŸ™πŸ™Mayi wa nabwile
17/07/2025

Unaeza ambia Nini uyu mayi wa nabwilee kulingana na ile shuguli yenye Ako nayo kwa siku ya kesho πŸ™πŸ™
Mayi wa nabwile

17/07/2025

Good morning my people siku ya Leo ningependa niongelee kitu ambacho kinaitwa tamaa πŸ‘

Leo lazima tushike uyu muchawi 🀣🀣🀣🀣 mwenye anafanya tunakosa Kulala
16/07/2025

Leo lazima tushike uyu muchawi 🀣🀣🀣🀣 mwenye anafanya tunakosa Kulala

Wahenga walisema mgeni akija kwako mwenyeji anapona 😁😁 Sasa nani anataka mgeni kwake nikuje 🀣🀣🀣🀣Kinanjui Mca sikhendu wo...
16/07/2025

Wahenga walisema mgeni akija kwako mwenyeji anapona 😁😁 Sasa nani anataka mgeni kwake nikuje 🀣🀣🀣🀣
Kinanjui Mca sikhendu word

Mungu anawaona sana mtu awezi patikana to asubuyi amekufa na alikua to mzima Jana jioni 😭😭😭😭😭 k**a ni mipango ya God ni ...
15/07/2025

Mungu anawaona sana mtu awezi patikana to asubuyi amekufa na alikua to mzima Jana jioni 😭😭😭😭😭 k**a ni mipango ya God ni sawa na k**a unajua ulihusika mahali kwa kifo chaa uyu ndugu yangu Wacha to Mungu mwenyewe atende haki πŸ™πŸ™πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­ rest in peace kiongozi 😭😭😭😭😭

Ushauri wangu kwa vijana ni yakwamba vijana mujifunze kujitegemea kwa Kila Hali unayo pitia kwa hii maisha isiwe to Kila...
15/07/2025

Ushauri wangu kwa vijana ni yakwamba vijana mujifunze kujitegemea kwa Kila Hali unayo pitia kwa hii maisha isiwe to Kila Hali unalia usaidiwe πŸ™πŸ™
Kinanjui Mca sikhendu word

Ukiaminika basi uwe mwaminifu. πŸ™Nashukuru Mungu kwa kuniongeza siku hii ya Leo πŸ™Kinanjui Mca sikhendu word
15/07/2025

Ukiaminika basi uwe mwaminifu. πŸ™
Nashukuru Mungu kwa kuniongeza siku hii ya Leo πŸ™
Kinanjui Mca sikhendu word

Natumai Kila mtu Ako kazi 🦾🦾🦾 watu tujitume kwa kazi zute na tumuombe Mungu atufungulie njia za kazi πŸ™πŸ™ Kinanjui Mca sik...
14/07/2025

Natumai Kila mtu Ako kazi 🦾🦾🦾 watu tujitume kwa kazi zute na tumuombe Mungu atufungulie njia za kazi πŸ™πŸ™
Kinanjui Mca sikhendu word

My  G 🦾 Rj mediaa
06/07/2025

My G 🦾
Rj mediaa

Kwa majina kamili naitwa Natembea na Mimi governor wa Jimbo la kitale na nataka nitembee eneo la Western kiujumla ili ni...
13/06/2025

Kwa majina kamili naitwa Natembea na Mimi governor wa Jimbo la kitale na nataka nitembee eneo la Western kiujumla ili nijue ni shida gani ambazo watu wangu wa wanapitia 🦾🦾🦾🦾😁😁 kwa sababu sii pia nanyi munajua to kwa muda murefu nimekua nikikimbizana na wakora wa uko musituni na kwa sai Sasa nimekujua kukimbizana na wakora ambao wanasumbu watu wangu wa Western 🦾🦾 ama namna gani πŸ™…πŸ™…πŸ™…πŸ™…πŸ™…πŸ™…

Address

Kitengela
Bungoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wamocha classic 254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Wamocha classic 254:

Share