02/11/2024
Black G, Mista Champagne, Jintrino, Kingorongoro, D one , Le Jumeaux Music, Linah Blanche, pamoja na msemaji wa Vital’O, Arcene Bucuti, walipokelewa rasmi leo Jumamosi, Novemba 2, 2024, katika Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Burundi.
Wakiwa na Balozi wa Tanzania, MHE. Gelasius G., walijadiliana masuala mbalimbali kuhusu muziki wa kiswaili nchini burundi na mengine mengi ambayo mtayaona ivi karibuni .
/ / / / / / /