Mwatap Mwatap est une asbl œuvrant en RDC au Kivu pour la promotion des jeunes talentueux vulnérables.

SPÉCIALE PROMO FILM MAGIE 👆👆2024 GROUPES DES CINÉMATuna wapa promo ya MOVIES yoyote ile ya KICHAWI unayo kwa beyi raisi ...
26/06/2024

SPÉCIALE PROMO FILM MAGIE 👆👆2024
GROUPES DES CINÉMA
Tuna wapa promo ya MOVIES yoyote ile ya KICHAWI unayo kwa beyi raisi sana CAMÉRAMAN/EDITOR KM 👇👇
+243978539244
twendeleshe vipaji vya kichawi

TAMBUWA WANA FILAMU WA GROUPS LA MWATAP CINEMA IYO KESHO WANA KUTANA ILI KUPANGILIA HATUWA JIPYA NA KUJIANDAA KWA FILAMU...
11/06/2024

TAMBUWA WANA FILAMU WA GROUPS LA MWATAP CINEMA
IYO KESHO WANA KUTANA ILI KUPANGILIA HATUWA JIPYA NA KUJIANDAA KWA FILAMU ITAKAYO FATA BAADA YA MOJA HII TUNAYO SUBIRI KUWA SOKONI “MR LE MAGISTRAT .”
INAOMBWA POPOTE ULIPO FAHAMU KUWA UVIRA VIPAJI VINAENDELEA NA SAPOTI KWA WENYE MOYO WA MAENDELEO INA ITAJIKA ILI KUCHANGIA KWA MAENDELEO

WIMBO MAKUBWA YA MAKALIYO by Gansolizo ukiwa umesha usikiliza achia Commenti yako apo chini 👌🔥
11/06/2024

WIMBO MAKUBWA YA MAKALIYO by Gansolizo ukiwa umesha usikiliza achia Commenti yako apo chini 👌🔥

11/06/2024

WANAO PENDA MAKALIYO MUKO WAPIII 😂???

Hellooo Watu wa Apa kwetu na watoka Mbali👋 Mkulima uyuu Apa je Unamjuwa???? Anaitwa kwa Maranyingine GANSOLIZO king Of J...
09/06/2024

Hellooo Watu wa Apa kwetu na watoka Mbali👋 Mkulima uyuu Apa je Unamjuwa????
Anaitwa kwa Maranyingine GANSOLIZO king Of JANGO kwa wale wasiyo mjuwa yéyé ni Mfalme wa MSITU na ni Mzazi pia Mwalimu wa Mziki wa nyumbani Kwetu Uvira na kIVU Ambaye Mpaka sasaa Anauwezo waku pitiliza kwa Hali zote Ndiye Mwana Mziki pekee kwa wasanii wa apo inchini Burundi 🇧🇮 Na Congo Ambaye Tuwa Media yake kwa siku Moja ame zipitia MeDia Tano Kubwa apo inchini Burundi Bujumbura naku Tangaza Albums yake ya 20 Titres ambayo mpaka sasa TUnaendelea ku isubiria 👌 Mwamba ni King kweli kweli na Mwalimu kwa staili zake kweli kweli , kumbuka pia Mwamba ndiye ameanza ku Amshaaa Mziki wa Uvira,Bukavu,na sehemu nyingi kwa kazi zake za mpigo niki zungumzia Nyimbo zake Tofauti zilizo itikiza ata Kigoma ya apo Tanzania na Mji wa Bujumbura.

Ametangaza kuachia wimbo MAKALIYO atuja juwa k**a nimoja ya kazi ambazo zipo kwenye Albums ao vipi ? Ila tuna msubiri kwenye vipindi vya Media yeyote Ile ili tupate ukweli kamili🙏... Endelea kujiunga nasi MWATAP NEWS APA.

BINAFSI NAJISKIA KU BARIKIWA 🙏 I know my level

Bientôt la chanson MAKALIYO Tunaenda ku achia🔥🔥🔥

KATIKA SHIDA ZA MOYO WANGU BABA MUNGU NIANDALIE YA KWANGU NISI BANWE K**A HAWA ..KATIKA KUNDI ZENYE KUWA NA MUONEKANO NA...
09/06/2024

KATIKA SHIDA ZA MOYO WANGU BABA MUNGU NIANDALIE YA KWANGU NISI BANWE K**A HAWA ..

KATIKA KUNDI ZENYE KUWA NA MUONEKANO NA ZENYE HISIYA KALI ILI NIMOJA LA KUNDI BORA TARAFANI UVIRA ILA KWA SASA HATUJUI WANA BANWA WAPI NA TOKA FILAMU HII “MONSIEUR MAGISTRAT”

KUSUBIRIWA NA WENGI MPAKA SASA AIJAWA KWENYE SOKO , KOSA NINI WANDUGU TU ULIZANE UVIRA WATU AMUONI FAIDA YA WATU HAWA KWA JAMII YETU ILI TUWA DAI KILICHO HAKI YETU????

HAWA SIYO WATU WAKUPOTEZA KWENYE MJII

Hellooo Mashabiki wa Mziki popote Munapo patikana,Katika pita pita zetu Tumekuja na moja Ya Habari kamili Toka kwake Mwa...
31/05/2024

Hellooo Mashabiki wa Mziki popote Munapo patikana,Katika pita pita zetu Tumekuja na moja Ya Habari kamili Toka kwake Mwanamziki GANSOLIZO ambaye Mpaka sasa anaendelea ku Tanuwa kwa kasii na Uwezo Mkubwa Tena Mjini Uvira naku wapeperusha kivingine WANAMZIKI ,ijuwe Habari iliyo kamili ni kwamba Mwanamziki GANSOLIZO apo akiwa inchini BURUNDI BUJUMBURA amefunguka Mengi kuhusu Mziki wake naku Tangaza kuwa kuna kuja kazi Zisizo za Utoto na zenye Mashahiri Kwa kuelimisha Jamii Basii Mashabiki wawe Tayarii kupokea Kazii Toka kwangu kwa Hali na mali ili kwamba namimi nitambulike kupitia wao tena amezungumza ilo Mwanamziki GANSOLIZO, na hivi leo ameenda kuachia wimbo wake mpya unaitwa MAKALIYO ambao Unaendelea kusubirika na wengi mashabiki hadi mpaka sasa...Mwanamziki ni Moja mwenye surprise nyingi kwa Mashabiki zake na hivyo wana imani nae na wanaendelea ku towa sapoti zao siku bahada ya siku kwa MR ATAKA NIKOMBALI Ao MZEE WA WASI WASI kwa Maharufu zaidi GANSOLIZO. Endelea ku towa commenti zako pia usiache ku aimée na partager kwa wengine page yetu MWATAP 🙏

Hellooo wapenzi wa Mziki wa Nyumbani UVIRA Mwanamziki GANSOLIZO awajulisha Ma Fans wake  kwamba yuko Mbiyoni kuachia Kaz...
09/05/2024

Hellooo wapenzi wa Mziki wa Nyumbani UVIRA Mwanamziki GANSOLIZO awajulisha Ma Fans wake kwamba yuko Mbiyoni kuachia Kazi Mpya awaomba Ma Fans wake wote Kuwa Tayarii Kupambania na ku akikisha kazi inafika sehemu Zote Asema ivyo The LEGEND GANSOLIZO👌Respect.

Hellooo Yaleo Kaliiii....Kumbe Kuna watu na Viatu Duniani Ambao wasio penda kuona Mafanyikio ya wenzao 👌iyo ni TOp ya ka...
17/04/2024

Hellooo Yaleo Kaliiii....
Kumbe Kuna watu na Viatu Duniani Ambao wasio penda kuona Mafanyikio ya wenzao 👌iyo ni TOp ya kauli Toka kwa Mwanamziki Wakutumainiwa na Anae jitumainia kwenye Safari yake ya Mziki CEO GANSOLIZO AKA MAESTRO SUPU MAN Ni iyo Baada yakufanya EPANENOS s1 Mjini Kwao Uvira kwa ushirika na shule lake alilo somea secondary yake Naku wakosa Baadhi y’a Watangazaji na wapiga Picha ambao ali pata Moyo yaku wa Aliika kwenye siku kuu iyo ambayo ni kwa mara ya Kwanza Mjini UVIRA 🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️ inasikitisha kwa Mara nyingine na inaumiza Moyo kusikiaa Légendaire ao BAOBA dela Music🎶 UVIRA mpaka Mwisho Imesha andikwa kuwa ivyo kwa wale wa nao zowea kupinga imekuwa je Mwana Mziki Afanye Jambo Kubwa itokee MEDIA LINE za nyumbani zipewe Aliko ila zikose kushiriki

Ni wanani wanao Changia kushusha Samaani ya SANAA ya Nyumbani ??????????👌👌👌

sema Neno bien

BORA UZIMA🛸

Mziki Nimeuanza Kwa Majukumu Makubwa kitambo, Azikuwepo Media en ligne ao Wapiga picha ambao leo wana shoot Sasa.

Naona Maendeleo sasa nyumbani UVIRA yana kuwa na iyo ni Moja kwetu kutengeneza ndoto zakufika Mbali kwa kutengeneza Mziki wa nyumbani

😂 ila Nacheka Saaaana nikiwa na Moja Ya Mshangao kuona Media Zote Nilizo zialika Kwenye EPANENOS kwa Hali ya Ushirika zime Goma kuja kuhuzuria Nakuboa KUITANGAZA 😂

Aksaanti Watu wangu wa ngufuuu Kwa uaminifu wenu japo wame Omba tusiwe ila Maombi yenu na sapoti zenu zina nifanya mpaka sasa GANSOLIZO Naendelea kupambana 🙏 🙏

Waliyo Fika wata washuhudia MABAO......🔥INAANZA

Adresse

Uvira

Téléphone

+243970500410

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Mwatap publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Mwatap:

Partager