UmbeaOg To update yo

🙏🏽🙏🏽 FARHAN M KIHAMU] ..Hivi sasa ni saa 3:53 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, nikiwa hapa mizani ya Mikese Mji kasoro...
31/07/2021

🙏🏽🙏🏽 FARHAN M KIHAMU] ..Hivi sasa ni saa 3:53 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, nikiwa hapa mizani ya Mikese Mji kasoro Bahari Morogoro njiani kurejea Jiji la Lawama

Pembeni yangu namuona Mama mmoja na mtoto mmoja mgongoni na mmoja kamshika mkono, kichwani ana sinia la machungwa, hawafanyi biashara kujenga bali tu kupata kula yao ya siku

Kwenye fikra zangu yupo yule Kaka na Dada yangu aliehitimu UDSM, UDOM au SUA! Ni mwaka wa tano sasa, amebadili sana bahasha, ameandika sana proporsal ila "samahani hatuna kazi" imekuwa ringtone kwake

Kwenye maombi yupo yule Kijana mdogo mwenye ndoto kubwa! Ila kila akibisha hodi maofisini anaulizwa k**a ana uzoefu na kazi, ataupatia wapi k**a kila mlango unafungwa? Kila siku ni afadhali ya jana

Nipo pamoja nawe uliesoma kwa kuunga unga, wazazi waliuza kila kitu, wakiamini siku unahitimu ni mwanzo wa historia mpya ya maisha yao, ila hawakujua ndio mwanzo wa stress mpya za maisha yao, ngumu kila sehemu

Nasema nawe pia Mwanangu wa bodaboda! Boss anataka kipande chake ila bado umelipa faini, abiria hawapatikani kila kitu ngumu, Mchumba nyumbani anataka chips kuku na pesa ya saloon

Nasema nawe Mwanangu unaepambania penzi kwa gharama yoyote, Mchumba anataka iPhone wewe una Infinix, Mchumba anataka lunch Samaki Samaki wewe unaishi kwa pass ndefu, life is not fair

Unajitahidi kujikwamua, umechora proposal zako za kiharakati unampa Boss akuvute ila blue tick zimesoma na Boss kakuzimia simu na kesho unaikuta inatumika, komaa na jikaze dunia sio yetu

Nasema nawe Mwanangu wa chini ya dollar moja, Kaka, Dada, Baba na Mama! Popote ulipo endelea kuamini kwenye kesho yako! In Africa we are not living we are surviving 💪

Mungu awape wepesi wana wa Adamu, k**a bado tuko hai basi hakuna Uchawi

🎶Faraja nakuita Faraja, upo wapi Faraja🎶
credit: FARHAN M KIHAMU]

Bingwa kabisa: Mnaacha kuendelea na mambo yenu ya siasa Mnaanza kuleta chuki zenu kwa msanii wetu... Mmeona wanasiasa wa...
31/05/2021

Bingwa kabisa: Mnaacha kuendelea na mambo yenu ya siasa Mnaanza kuleta chuki zenu kwa msanii wetu... Mmeona wanasiasa wamewakaushia mkaona sehemu ya kutrend nkuleta chuki kwa Kwani aslimia 98 ya wasanii Bongo walijiusisha na Ccm, afu uwezi mpangia mtu upande wa kuwa kupigania nchi si muendelee nyie kwani mpaka aungane na nyie? Sisi tupo kwaajiri yake... Huyu ni alama ya Taifa ili mtake msitake... 💪🏽 Big for Tanzania 🇹🇿

08/05/2021

05/05/2021

Haya hii hapa

04/05/2021
08/04/2021

in 90s

03/03/2021

Video Out now link kwa bio yake

Je… Mpo tayari kumpokea balozi wa brand yenu???   Ni kwa kipindi kirefu toka brand yenu kuanzishwa haijawahi kuwa na bal...
07/10/2020

Je… Mpo tayari kumpokea balozi wa brand yenu???
Ni kwa kipindi kirefu toka brand yenu kuanzishwa haijawahi kuwa na balozi (Brand Ambassador) na sasa tunaenda kumtambulisha rasmi balozi wenu...
Unafikiri ni nani amepata mchongo huu??
Hebu tiririkaaaaaa
👉👕👕👕🙏🇹🇿

Adresse

Lubumbashi

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque UmbeaOg publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à UmbeaOg:

Partager

Type