RABI JEREMIE OG ✊RABI JEREMIE OG✊
GREATEST NATIONAL TO THE WORLD karibu kwa mafuzo na mashauri kwa vijana na wa henga wa Afrique

21/08/2026

Kifo cha Mr gave

Kuna milango ambayo tabia yako pekee ndiyo inaweza kuifungua.Hakuna maombi, hakuna sadaka; ni tabia yako tu. 👌🥲🙌🥺❤️‍🩹
18/08/2026

Kuna milango ambayo tabia yako pekee ndiyo inaweza kuifungua.

Hakuna maombi, hakuna sadaka; ni tabia yako tu. 👌🥲🙌🥺❤️‍🩹

Usitazame status zao ukadhani wanaishi vizuri kuliko wewe. Katika hali halisi, wengi wao hata hawali vizuri k**a wewe.Ri...
16/08/2026

Usitazame status zao ukadhani wanaishi vizuri kuliko wewe. Katika hali halisi, wengi wao hata hawali vizuri k**a wewe.
Ridhika na kile ulicho nacho.
Ata hivyo, utatumia maisha yako yote kulipa mikopo isiyo na faida👌💔😿🧏🙌🥹❤️‍🩹

Siku moja, unagundua kuwa yule mwanaume anayeamka saa kumi na Moja asubuhi (5:00 AM), anarudi nyumbani akiwa amechoka ka...
15/08/2026

Siku moja, unagundua kuwa yule mwanaume anayeamka saa kumi na Moja asubuhi (5:00 AM), anarudi nyumbani akiwa amechoka kabisa na halalamiki hata siku moja... Sio baba yako tena. Ni wewe... 🫵😭👌🙇❤️‍🩹

Msishangae kupata mabaya mahali ambapo mlipanda mema…Baadhi ya ardhi hazifai kabisa kwa kilimo. 😭🤦🙌❤️‍🩹
15/08/2026

Msishangae kupata mabaya mahali ambapo mlipanda mema…
Baadhi ya ardhi hazifai kabisa kwa kilimo. 😭🤦🙌❤️‍🩹

Kukomaa ni kuelewa pia kwamba:Kumchagua baba mzuri kwa ajili ya watoto wako ni muhimu zaidi kuliko kumchagua mume kwa aj...
15/08/2026

Kukomaa ni kuelewa pia kwamba:
Kumchagua baba mzuri kwa ajili ya watoto wako ni muhimu zaidi kuliko kumchagua mume kwa ajili ya mvuto au mapenzi tu. 😭💔✊🙌❤️‍🩹

14/08/2026

Mnawasukuma watu waondoke kwa sababu ya tabia zenu, halafu mnajifanya kuwa waathirika… Mnachukiza. 💔😭👌❤️‍🩹

12/08/2026

Itakuwa hewani mu version alisi mu YouTube ya Dakika Media. Asante

Ni kwa sababu ya kuepuka matatizo ndiyo maana bundi hutembea peke yake usiku. Pamoja na hayo, walisema yeye ni mchawi….✨...
11/08/2026

Ni kwa sababu ya kuepuka matatizo ndiyo maana bundi hutembea peke yake usiku. Pamoja na hayo, walisema yeye ni mchawi….✨💫

Adresse

Lubumbashi

Téléphone

+243836004378

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque RABI JEREMIE OG publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à RABI JEREMIE OG:

Raccourcis

Partager

Type