Buzz to buzz show

Buzz to buzz show Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Buzz to buzz show, Art, Lubumbashi.

🔴🔴IMAGE DU JOUR🔴🔴 Wambeya mambo vipi? 😀😀  muko poa?Jamani leo atuongeyi sana , tunawaleteya tuh image du jour ,  tunayo ...
06/07/2022

🔴🔴IMAGE DU JOUR🔴🔴

Wambeya mambo vipi? 😀😀 muko poa?
Jamani leo atuongeyi sana , tunawaleteya tuh image du jour , tunayo ona wa manager wote maharufu wamekutana pamoja ili kuongeleya kitu kimoya😉😉😉!!

Hum jamani labda mimi niulize tuh, nani alialika mkutano jamani? Na waliongeleya nini?? Ao niju Ya ...?? Eeehh😂😂😂😂😂 jamani tuatche unafiki na ubinafsi jamani...inge kuwa msaani mwengine wange sapoti ivi kweli?😂😂😂😂😂😂

Naatcha basi... Sina matcho jamani 😂😂😂😂

Endeleeni kufwatiliya Umbeya kwenye👉👉 👈👈

🔴🔴URGENT🔴🔴 jamani wambea mambo vipi?😀😀 ivi munamjuwa? Anaitwa  Msani maarufu Tanganyika... Siku izi alikuwa na asura san...
30/06/2022

🔴🔴URGENT🔴🔴

jamani wambea mambo vipi?
😀😀 ivi munamjuwa? Anaitwa
Msani maarufu Tanganyika... Siku izi alikuwa na asura sana naba manager wote , amesema awajuwi kazi zabo😂😂😂, awajuwe wanatcho fanya... Lakino leo k**a vile siku Ya huuru Ya inchi( 30 juin ) ameatchiya ameposti k**a vile affiche , nakusema que ameuliza bâ fans que wametaka siku gani nyimbo itoke!?? Na nyimbo inaitwa 👀👀... Hum! Ametaka kuongeleya nini ??🙈🙈👀👀🙊🙊

Basi nyimbo itatoka leo ama kesho...!! Mkuwe tayari kuipokeya mapolitik😀😀😀

👉👉 👈👈 endeleeni kufwatiliya Umbeya apo

🔴🔴URGENT🔴🔴jamani eee Amkeni Amkeni Amkeniii !!!!😂😂😂😂 kumekusha  ,  wambea mambo vipi? Muko poa??Ivi unamjuwa? Anaitwa   ...
30/06/2022

🔴🔴URGENT🔴🔴

jamani eee Amkeni Amkeni Amkeniii !!!!😂😂😂😂 kumekusha , wambea mambo vipi? Muko poa??

Ivi unamjuwa? Anaitwa msani ambae anae fanya vizuri Tanganyika lakini kwasasa ameangukiya kwenye LOVE na ajiwezi kabisa , ata kutoa ngoma akuna😂😂😂😂😂

Na leo kwenye mishemishe tumeangukiya kwa iyi post apa, ameposti yéyé mwenyewe artiste, amemuonesha binti mmoja anaitwa ... 😍😍 inaonekana k**a njo beubeu wake kwasabu alimuposti nakwandika maneno Matam Matam mu français 😂😂😂😂 k**a munavyo ona apo, inamanisha mû swahili< mbele yayote unisameh nakupenda weye J.E tafhazali nakupenda sana roh yangu J.E> 😂😂😂😂😂😂 eloooooo jamanieee msani ka kataliwa ama vipi?😂😂ao ka kutwa na mwengine?😂😂😂😂 ameongeza na anglais lakini anglais ndo atujuwi....😂😂😂😂

K**a wewe unaelewa anglais , basi utwandikiye alichosema mû commentaire💪💪🙏🙏🙏

👉👉 👈👈 endeleeni ku fwatiliya umbea apo

🔴🔴URGENT❗❗jamani wambea mambo vipi? Muko poa 😀😀😀😀 sisi tuko poa kabisa...Ivi niulize kidogo jamani... Uku ku vodacom bes...
24/06/2022

🔴🔴URGENT❗❗

jamani wambea mambo vipi? Muko poa 😀😀😀😀 sisi tuko poa kabisa...

Ivi niulize kidogo jamani... Uku ku vodacom best of the best Tanganyika kulikuwa wa gagnants wangapi?😳😳 donc kulikuwa vrai gagnant na faux gagnant ?😳😳😂😂...

😂😂😂😂ivi unamjuwa? Anaitwa criatura maravillosa DOUBLE K,
Leo alikuwa kwenye kipindi tcha KALEMIE DIRECT na mtangazaji HERVÉ TSHIDENDE SABASABA, na msani aliibuka kusema mambo mingi sana ,lakini mambo inayo shangaza ni alionekana tutoa sapoti nyingi kwa msaani TOO KELLY KLJ, Alisema k**a< too Kelly njo vrai gagnant wa b.o.b Tanganyika, > na akaongeza kusema< too Kelly ni msaani mwenye eko na corps artistique, il connais se comporter devant la foule et devant la scène, et même si munamupa micro a animer public il va le faire sans aucun problème ,tandis que d'autre abaya kuwa mû île level , abana île corps artistique😂😂... Malgré ce qui a eu courage a eux>

Île ndo masemwa Ya msani double K kwenye kipindi tcha Hervé sabasaba

Hum jamani atcheni nitcheke 😂😂😂😂😂😂 inamanisha k**a too kelly njo vrai gagnant na... njo fausse gagnante😂😂😂 eh mungu utuone... Wewe k**a wewe unawaza nini par rapport Ya iyi double k alicho sema? Andika kwenye commentaire...

Endeleeni kufwatiliya umbeya apa👉👉umbeyakwetutv👈👈 🔥🔥

⛔⛔ Jamani wambea mnasemaje? Muko poa😅😅 sisi tuko fresh kabisaaaNa leo tunakuja na nyingine tena😅😅😅 IVI UNAMJUA? msaani w...
13/06/2022

⛔⛔ Jamani wambea mnasemaje? Muko poa😅😅 sisi tuko fresh kabisaaa

Na leo tunakuja na nyingine tena😅😅😅 IVI UNAMJUA? msaani wa k**e alieenda ku représenter Tanganyika ku concours national de vodacom BOB anaitwa , ...

Ivi niulize amesha fika capitale(Kinshasa) ? Na eko naikala wapi? Mû Gombe ou ngaliema, bandalungwa ou maluku??😅😅😅😅😅
Lakini atuna uko leo! Kinatcho tuleta ni iyi apa 👉👉 page facebook yake Ya mupya kabisa ametoka mukuifungua apasasa👈👈 anaitaji support Ya wambea 🙏🙏 basi twendeni tumu sapoti mukuji abonné

Endeleeni kufwatiliya umbea apa 👉👉 👈👈

⛔⛔ URGENT⛔⛔Jamani Amkeni Amkeni amkeniiii!!!!!😅😅😅😅 kunakutcha jamaniWambea mambo vipi? Muko freshi😅😅😅 sisi tuko freshi k...
11/06/2022

⛔⛔ URGENT⛔⛔

Jamani Amkeni Amkeni amkeniiii!!!!!😅😅😅😅 kunakutcha jamani

Wambea mambo vipi? Muko freshi😅😅😅 sisi tuko freshi kabisaaa

Jamani IVI UNAMJUWA?? Anaitwa 😅😅😅 msaani wa filamu maarufu Tanganyika 😊😊😊, leo alikuwa na gundi lake ICB kwenye télévision 6, na mtangazaji alikuwa ni ,

-Moses aliibuka nakusema k**a yéyé ni msaani ambaye ana mpinzani Tanganyika... Na usi mufananishe na nawasaani wengine, na ICB usiifananishe na gundi lengine apa kalemie😅😅😅😅😅...

-na tena gundi lake lote banamwita yéyé k**a mwalimu , na k**a unataka kufundishiwa ku Act basi wende mû gundi la ICB👐👐👐

Tumetoa ripoti, lakini niulize kwanza😅😅😅!!! Ivi ni kweli Christophe saido auwezi kumu comparer na msaani mwengine Tanganyika? Utupe jibu lako mû commentaire

Endeleeni ku fwatiliya Umbeya kwenye👉👉 👈👈

⛔⛔ URGENT!!!JAMANI Amkeni Amkeni amkeniiiii😅😅😅😅😅 Kuna mapya jamani tulamuke sasa 😊😊Ivi unamjuwa? Anaitwa TOO KELLY KLJ K...
10/06/2022

⛔⛔ URGENT!!!

JAMANI Amkeni Amkeni amkeniiiii😅😅😅😅😅
Kuna mapya jamani tulamuke sasa 😊😊

Ivi unamjuwa? Anaitwa TOO KELLY KLJ KABENGELE LONGWANI😊😊

Jamani juzi alituakikishiya kwenye statut ake watsp k**a musubiri dans 48h mutajuwa gagnant wa kweli wa vodacom BOB Tanganyika, tulichungaeeeeee mpaka leo ndo ime akikishwa kwamba na yéyé ataenda ku représenter Tanganyika ku concours national... Anatoka 2e gagnant mû Tanganyika😅😅😅👏👏👏👏👏 si si wambeya tunamwambiya félicitations et courage a l'artiste...

Lakini tunasubiri k**a kutakuwa tena 3e gagnants, njo tuitike k**a pesa inaongoza kila kitu😅😅😂😂😂😂😂😂SINA MATCHO JAMANI🙈🙈🙈😂😂😂😂😂

👉👉 👈👈👈endeleya kutu fwatiliya👏👏👏

⛔⛔URGENT⛔⛔Wambea Amkeni Amkeni kume kusha jamani😊😊😊Mambo vipi wambea wenzangu, ebu nipeni Umbeya😅😅👂👂👀👀 Ivi unamjuwa😅😅? A...
07/06/2022

⛔⛔URGENT⛔⛔

Wambea Amkeni Amkeni kume kusha jamani😊😊😊

Mambo vipi wambea wenzangu, ebu nipeni Umbeya😅😅👂👂👀👀
Ivi unamjuwa😅😅? Anaitwa l'ambassadrice de la province du Tanganyika... Ndo uyu ataenda kutu représenter ku concours ... 👏👏👏

RIPOTI

-jamani leo management ya Artiste balienda ku rencontrer ba autorité de la place( ministre de la défense ,ministre de la jeunesse...) walialika ma média 6, lakini awakutualika sisi WAMBEYA😢😢 lakini kwa gisi sisi niwa mbea tulienda ivo ivo😃😃
- tulifika apo na 8h30 ku gouvernorat na tuka ingiya mwa ministre de défense na 11h58😟😟
-kisha kutoka mû bureau Ya ministre ,bâ journaliste wakamuliza manager wa visionnaire team , (Kisha apa tunaenda wapi? Akajibu tuna enda kwa Tcham hôtel kumu rencontrer ministre de la jeunesse ) OK tuka lipa transport zetu benyewe paka kwa Tcham😤😤lakini chose drôle kumbe balikuwa na mpango mwengine wakwenda ku mairie bila kutwambiya 😣😣, bâ journaliste tulifika kwa Tcham hôtel depuis 12h20 tuko tuh nawa tchunga bwima paka 14h 37 njo waka kuja sasa 😥😥😥imaginez!!?

-et puis tuka anza mutchunga ministre de la jeunesse dés 14h paka 16h, kisha ministre akatuambiya awezi kutu rencontrer kule tumufate kesho ku bureau yake😃😃😃, ah mon pays o😅😅😅😅

-après management ikasema basi twende mû charcuterie tuka k**ate ata tchupa Ya maji...après le repas ,c'était obligé management ipatiye média quelques chose Ya transports., chose drôle et amusant walipatiya média zote transports lakini ku tour za umbea kwetu akasema atukualika nyinyi atuwezi tosha lar💸💶💰😭😭, subiri nikamulize kwa PDG , akaenda kumuona lakini akarudiya kutwamviya k**a PDG anasema AKUNA HELA ZAKUMIPA Kwasababu amukualikwa😫😫😃😃😃

Basi tumetoa ripoti zetu 🙌🙌

⛔⛔ANNIVERSAIRE⛔⛔Amkeni Amkeni amkeni!!! Jamani eee😂😂😂 amezaliwa  leo  jamani la NANDERA🎂🎂🎂🎂 Wambea tumemtakiya joyeux an...
02/06/2022

⛔⛔ANNIVERSAIRE⛔⛔
Amkeni Amkeni amkeni!!! Jamani eee😂😂😂 amezaliwa leo jamani la NANDERA🎂🎂🎂🎂 Wambea tumemtakiya joyeux anniversaire à elle, 🎂🎂🎂🎂

Lakini ivi niulize jamani 😂😂😂, manake beauf kamkataza kabisaaa kuimba😂😂😂😂 ? Eh namuogopea Cléopâtre maryna na yeye akipata tuh ata achishwa kuimba😂😂😂😂😂 eh! Mi sina na matcho jamani🙈🙈🙈

Endeleeni ku fwatiliya Umbeya kwenye 👉👉umbeyakwetutv👈👈

La

⛔⛔URGENT⛔⛔Amkeni Amkeni!!! Wambea mambo vipi  mko poa?😅😅😅 jamani sisi tuko poa kabiiisaJamani ivi UNAMJUA? Anaitwa Amada...
01/06/2022

⛔⛔URGENT⛔⛔

Amkeni Amkeni!!! Wambea mambo vipi mko poa?😅😅😅 jamani sisi tuko poa kabiiisa

Jamani ivi UNAMJUA? Anaitwa Amadarp amido msaani marufu Tanganyika, 😅😅 leo alipokelewa na raisi wa wambeya DEWILO KALUBULA Kweye UMBEYA KWET TV.. Na msaani uyo amesema kwamba mziki wake na msaani marufu tanzania KAYUMBA, akuna mziki mwengine ume...😅😅😅😅 sisi kimya😅😅😅👀

Ebu nenda ufwatiliye mengi kwenye 👉👉 👈👈

🔴🔴URGENT🔴🔴Wambeya Amkeni Amkeni Amkeniii!!! 👉👉👉👉https://youtu.be/5vTTEz2u-7 Muko poa?  manager FAUVETTE  kasema lake jam...
26/05/2022

🔴🔴URGENT🔴🔴

Wambeya Amkeni Amkeni Amkeniii!!! 👉👉👉👉
https://youtu.be/5vTTEz2u-7

Muko poa? manager FAUVETTE kasema lake jamani na kasema byote kuusu wa manager bengine 😂😂😂 uta tcheka jamani ebu umu fwatiliya👉👉https://youtu.be/5vTTEz2u-70

VOTRE PARTAGEZ EST TRÈS NÉCESSAIRE ET SURTOUT N'OUBLIEZ PAS DE S'ABONNER NOTRE CHAÎNE YOUTUBE UMBEYA KWETUtv🔥🔥🔥👈👈

'homanix

Adresse

Lubumbashi

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Buzz to buzz show publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager

Type