VOIE DES ANGES CHOIR 8è CEPAC Kavumu

  • Home
  • VOIE DES ANGES CHOIR 8è CEPAC Kavumu

VOIE DES ANGES CHOIR 8è CEPAC Kavumu Groupe des chanteurs chrétiens

23/04/2026

Nous venons d'enregistrer le site web pour notre organisation greenparentingempowermentinitiative pour plus d'informations sur nous veuillez vous connecter sur

Mungu ni wetu sote.Mungu nizaidi ya vyote.Mungu ni wa milele.Mungu anapita yote.Sema neno moja kwa ajili ya MunguMungu n...
06/04/2026

Mungu ni wetu sote.

Mungu nizaidi ya vyote.
Mungu ni wa milele.
Mungu anapita yote.

Sema neno moja kwa ajili ya Mungu
Mungu ni ...........

Wa dada wa kristo katika huduma ya Mungu Kazi yetu ni kuabudu
06/04/2026

Wa dada wa kristo katika huduma ya Mungu

Kazi yetu ni kuabudu

Nitawaarifu wa mataifa kwa ajili ya ukuu wako.Tumutoleye Bwana kwa moyo wote kwa ku himidhana na kuombeana
30/03/2026

Nitawaarifu wa mataifa kwa ajili ya ukuu wako.

Tumutoleye Bwana kwa moyo wote kwa ku himidhana na kuombeana

2eme partie:Kila goti litakunjwa mbele zake Bwana Yesu.Musifuni Bwana kwani yu mwema.
30/03/2026

2eme partie:
Kila goti litakunjwa mbele zake Bwana Yesu.

Musifuni Bwana kwani yu mwema.

1ere partie: kwako kuna Raha Mungu.Mukutano wa utukufu
30/03/2026

1ere partie: kwako kuna Raha Mungu.

Mukutano wa utukufu

Mtabarikiwa na Bwana.Thème: sababu ni siku za Mwisho
10/03/2026

Mtabarikiwa na Bwana.

Thème: sababu ni siku za Mwisho

Njoni muone Mungu ni mwema.Mubarikiwe na Bwana
15/04/2025

Njoni muone Mungu ni mwema.

Mubarikiwe na Bwana

Wazee wetu wakanisa nao walikuwa nasi, ili kuzibitisha, kushuhudia na mtangaza Bwana Yesu kristo.Basaza Gode
15/04/2025

Wazee wetu wakanisa nao walikuwa nasi, ili kuzibitisha, kushuhudia na mtangaza Bwana Yesu kristo.

Basaza Gode

sehemu ya kwanza ya mukutano, nakila mwenye pumzi amusifu Bwana, kwakweli Mungu ni mkuu tumemuona kwa macho yetu.
15/04/2025

sehemu ya kwanza ya mukutano, nakila mwenye pumzi amusifu Bwana, kwakweli Mungu ni mkuu tumemuona kwa macho yetu.

Njoni kwangu nyote mnao lemewa na mizigo mizito, niwa pumzishe....  Matayo 11:28.Tunawakaribisha Nyote, Ndugu, Mama, Bab...
11/04/2025

Njoni kwangu nyote mnao lemewa na mizigo mizito, niwa pumzishe....
Matayo 11:28.

Tunawakaribisha Nyote, Ndugu, Mama, Baba. njoni na vyombo mtupu ili kuchota Baraka za Mungu.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VOIE DES ANGES CHOIR 8è CEPAC Kavumu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to VOIE DES ANGES CHOIR 8è CEPAC Kavumu:

  • Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment?

Share