06/06/2026
📢 MAKIE MEDIA IMETUA RASMI! KARIBU KWENYE ULIMWENGU WA MAUDHUI YA KIMATAIFA.
Sisi ni MAKIE MEDIA, Digital and Multimedia hub, yenye lengo la kuelimisha, kuburudisha, na kuchochea fikra chanya. Tunakuletea vipindi mbalimbali vilivyoandaliwa kwa ubunifu wa hali ya juu na wataalamu wetu, tayari kukupa hisia mpya na maarifa mapya kila siku.
Hivi hapa ndivyo tulivyokuandalia:
🔥 ON INTERVIEW: Ungana nasi katika mahojiano ya kina na viongozi, wataalamu, na watu wenye ushawishi nchini ili kupata maarifa na ufahamu wa mambo yanayoendelea katika jamii yetu. Tunazungumzia masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, na kiutamaduni kwa uwazi na uwajibikaji.
🌍 INSIDE THE HISTORY (SWahili & Global): Ingia katika ulimwengu wa kumbukumbu na historia, ambapo tunachambua matukio makubwa, watu maarufu, na utamaduni wa jamii mbalimbali duniani. Tutakupeleka safari ya kupata maarifa mapya na kuelewa jinsi yaliyopita yavyoendelea kuumbua mustakabali wetu.
🎉 STREET QUIZ: Tunakuja mtaani kwako na maswali ya kuvutia na zawadi za kipekee! Ungana nasi kupima uwezo wako wa maarifa, ucheke, na ufurahie muda mzuri na marafiki na familia.
Jinsi ya Kupata Maudhui Yetu:
1. YouTube: [MAKIE MEDIA] [INSIDE THE HISTORY SWAHILI] [INSIDE THE HISTORY GLOBAL]
Sisi tuko hewani! Subscribe sasa kwenye chaneli yetu ya YouTube ili uwe wa kwanza kupata taarifa kuhusu vipindi vipya na uweze kutazama maudhui yetu yote kwa ubora wa HD.
2. Instagram: [.media_]
Tufuate kwenye Instagram kwa taarifa za haraka, picha, na video fupi zinazokuonyesha "Behind the Scenes" za uandaaji wa vipindi vyetu na matukio mengine ya kuvutia.
3. Facebook: [makie.media]
Like Page yetu ya Facebook ili uweze kuungana na jamii yetu, shiriki maoni yako, na upate nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali!
MediaHouse