07/10/2026
Horizon baby Drc Msani Mchapa Kazi, Huyu Kijana Kichwa Chako Kitashindikana Kikiwa Na Milima Na Mabonde Anapousika Ku Kushevu...
Kipaji Siyo Kimoja Cha Kuchana Tuh, Horizon Anajuwa Kunyowa Na Kunyowa... Saloon Ndogo Zaidi Kasenga Uvira Ila Ukifika Utaridhika Mnooooooo.....