PRIME TIME News

PRIME TIME News Prime Time News — Where Facts Take Center Stage.

09/02/2026

"Huwezi toka nchi yako ukuje kukua hawker hapa Kenya, sitaki kuona foreign hawkers kabisa hapa Kenya from next week. Mfunge biashara muende kwenu ama tuwasafirishe." President Ruto breathes fire

Migori Woman Rep Fatuma Mohamed lectures Sifuna~ Sisi hatukufukuza mtoto wenu, Edwin Sifuna kutoka ODM. Tuliona hana hes...
09/02/2026

Migori Woman Rep Fatuma Mohamed lectures Sifuna~ Sisi hatukufukuza mtoto wenu, Edwin Sifuna kutoka ODM. Tuliona hana heshima; anamtukana Oburu, rika ya Babu yake. Tukamuita kwenye mkutano na kumwambia amuheshimu Oburu, lakini alituambia yeye amesoma sana na hawezi kumheshimu Oburu. Tukamwambia Baba alituacha kwa broadbased na k**a ulikua unapenda Baba kubali ubaki mahali baba alituiacha yeye akakataa. Tukamwambia atembee.

09/02/2026

"Sifuna hauwezi kua president k**a hujaomba msamaha kwa Oburu Odinga." Migori Woman Rep Fatuma Mohamed lectures Sifuna

09/02/2026

"Gachagua anasema atafagia wasaliti wote Mt Kenya, atawafagia yeye k**a nani? Hawezani na sisi." Faith Gitau, Nyandarua Woman Rep

09/02/2026

"Tupee brother yangu akufie kwa mkono yangu!" Drama at Eagle's hospital Kangemi as a family complains of negligence by doctor's on their kin who needed urgent medical attention

"When the devil sees that you are finally making progress in life, he whispers “My son, vie for MCA/MP/ Governor/Senator...
09/02/2026

"When the devil sees that you are finally making progress in life, he whispers “My son, vie for MCA/MP/ Governor/Senator/President." Millie Odhiambo

09/01/2026

"Father enda ukae chini, hata umefika sahi, na k**a hutaki enda!" Drama at a burial in Makueni as a Catholic Father is shunned off after arriving late at the event and wanted to takeover immediattely.Full Video-https://www.youtube.com/watch?v=pQK19dzBv7I

Address

ST JOHN WALK
Wilmington, DE

Telephone

+254796629445

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PRIME TIME News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share