Injili ya Matengenezo

Injili ya Matengenezo UWE NURU YA ULIMWENGU. MATHAYO, 5 :13 -16.

10/07/2025

TABIA YA MKE WA LOTI

06/12/2025
03/31/2025

Ivi umeokoka au ujaokoka kabisa ?

Chunguza hapa kidogo.

03/14/2025

ADUI WA MKRISTO SI MWANADAMU

03/12/2025

Waimbaji Waimbaji Waimbaji.
Tulizani Kanisani ndiyo maali pekee ambapo kuna utafauti wa watu wamchao BWANA na watu wa Kidunia.

Ila mbona mnaambiwa lakini ni kana kwamba amtaki??. Basi semeni kweli ikiwa amna mpango wakuokoka ili tujuwe, na watu wengine wasiwafuateni.
Siyo maneno tu ndiyo Injili. Bali hata muondoko, mdundo, na mavazi utambulisha Injili.

INJILI UANZIA KWA MATENDO NA MWENENDO, kisha MUONEKANO maneno yana thibitisha unacho kiamini ktk kuishi kwako.
Walakini kusema sema bila matendo na muenendo ni bure.

WAIMBAJI WALIO NA ROHO MTAKATIFU KAMWE ROHO MTAKATIFU ALIYE NDANI YAO AWEZI KUWARUUSU KUFANYA HAYA.

Hapo ni zairi kwamba awajaokoka hawa waimbaji wengi tulio jaza makanisani na mitandaoni ( Soma Warumi, 8 :8 -9. kwa uthibitisho kwamba awajaokoka au si Wakristo )

03/11/2025

Full video on YouTube.
Injiliyamatengenezo

02/26/2025

Mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa hiyo uwe na bidii na kutubu.”‭‭Ufunuo‬ ‭3‬:‭19‬

02/22/2025

Vita vya Kiroho.

Full video on YouTube

10/10/2024

“Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.”
‭‭1 Timotheo‬ ‭6‬:‭10

Address

Greensboro, NC

Telephone

+14024158348

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Injili ya Matengenezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share