Monday

Monday Every one has a different clock wait for your time�

08/09/2024
Kwa Mahitaji ya Used za Computer Desktop & Computer LaptopTunapatikana Mjini ZanzibarKwa Mawasiliano zaidi +255 710 050 ...
14/08/2024

Kwa Mahitaji ya Used za Computer Desktop & Computer Laptop
Tunapatikana Mjini Zanzibar
Kwa Mawasiliano zaidi +255 710 050 213
Au njoo Inbox

💯
11/08/2024

💯

20/10/2022

Tukutane kwa mkapa

10/10/2022
09/10/2022

Huyu jamaa unamjua kwa jina gani

09/10/2022

Huyu jamaa unamjua kwa jina gani la muvi

03/10/2022

Watu 127 wamefariki dunia na wengine 180 kujeruhiwa katika mkanyagano wakati wa mechi ya soka nchini Indonesia.

Inaarifiwa kuwa vurugu zilizuka kati ya mashabiki wa timu pinzani za kandanda katika uwanja wa soka wa Kanjuruhan baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Indonesia kumalizika kwa Persebaya Surabaya kuishinda Arema Malang mabao 3-2.

Mkuu wa polisi wa Java Mashariki Nico Afinta amesema Rabsha zilijitokeza mara tu baada ya mchezo kumalizika usiku na kusababisha polisi wa kutuliza ghasia kufyatua mabomu ya machozi, jambo ambalo lilizusha hofu miongoni mwa mashabiki.

Mamia ya watu walikimbilia lango la kutokea katika juhudi za kukwepa mabomu hayo. Wengine walikosa hewa katika vurugu hizo na wengine kukanyagwa, huku watu 34 wakifariki papo hapo.

Wengine zaidi ya 300 walikimbizwa katika hospitali za karibu kutibu majeraha lakini wengi walikufa njiani na wakati wa matibabu. Idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka, kwani takriban watu 180 wako katika hali mahututi.

10/07/2017

Suleyman Wa Pili

13/06/2017

K.Benzema in

Address

Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Monday posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category