gred

gred Kila unapokata tamaa, Mungu akupe nguvu ya kusimama tena.

Kila unapolia kimya kimya, akufute machozi yako na akujaze tabasamu jipya.Na kila unapofanya jitihada zako, akubariki mara elfu kuliko ulivyotarajia.Natamani kukuona ukiwa na mafanikio,ukiwa salama

21/04/2026

Ukitaka mtu asikusahau maishani mwake muache siku ya birthday Ata kukumbuka Kila mwaka

Nakuombea uwe na siku njema iliyojaa baraka, amani na upendo. Mungu akulinde na kukuinua zaidi ya matarajio yako.
19/04/2026

Nakuombea uwe na siku njema iliyojaa baraka, amani na upendo. Mungu akulinde na kukuinua zaidi ya matarajio yako.

15/03/2026

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when gred posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category