IwataOn3

16/11/2025

Ila chama duh

Umeukubali upi hapo
31/08/2025

Umeukubali upi hapo

😄😄😄😄🙏
10/08/2025

😄😄😄😄🙏

MAMBO MATANO YANAYOWAUMA YANGA
07/05/2025

MAMBO MATANO YANAYOWAUMA YANGA

MAMBO MATATU YAKUZINGATIA KWA MAMA YAKO
07/05/2025

MAMBO MATATU YAKUZINGATIA KWA MAMA YAKO

SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI[Mandhari ya asubuhi kijijini. Watoto wanacheza, akina mama wanapika, sauti za ndege zinasik...
03/05/2025

SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI

[Mandhari ya asubuhi kijijini. Watoto wanacheza, akina mama wanapika, sauti za ndege zinasikika.]

(SAUTI YA JUU): Kijiji cha Litembo, palipojaa upendo, migogoro, na ndoto zisizokoma...

[Neema yupo shambani akivuna maharage. Anacheka na Amina, rafiki yake.]

NEEMA: Amina, unajua ndoto yangu kubwa ni kuondoka kijijini na kuanzisha biashara ya mavazi mjini.

AMINA (akicheka): Wewe na ndoto zako! Lakini nakutakia mafanikio. Labda utamkuta mchumba wa mjini!

[Wanakumbatiana kwa furaha. Kamera inahamia upande wa pili wa kijiji, gari dogo linaingia kwa vumbi.]

: Lakini siku hiyo, hatima ya Neema ilibadilika...

[Gari linasimama mbele ya nyumba ya Mama Sita. Juma anashuka na kuangalia kijiji kwa mshangao.]

MAMA SITA: Karibu kijijini, mwanangu. Hapa ndipo utaishi kwa muda wa kazi yako.

JUMA: Asante mama. Kijiji kinaonekana kizuri...
Itaendelea
Mtunzi
IwataOn3

22/06/2023

Mwamba bhana huyu hapa

Address

TJTUO
Tabora

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IwataOn3 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to IwataOn3:

Share