Samikar Natural Products Tz

Samikar Natural Products Tz Samikar Natural Products ni watengenezaji wa Bidhaa za Usafi na Vipodozi Asilia.

Tuna Scrub za Kahawa, Manjano na Liwa, Chungwa na, Mafuta ya Nazi, Mafuta ya Mnyonyo na Shampoo, Sabuni za Mikono, kudekia na kung'arisha sink, tiles, kuosha gari na kuogea.

Happy International Women's Day πŸ™πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉ
08/03/2026

Happy International Women's Day
πŸ™πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉ

02/12/2025

Mungu kanipa Wewe K**a Zawadi
Nakupenda Samirah wewe
We muzuri Mwanangu weee
Allah akulinde Mwanangu

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£ mfano we ndio mtaka Cha uvunguni hapo utafanyaje πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
13/11/2025

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£ mfano we ndio mtaka Cha uvunguni hapo utafanyaje πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Inspo✨🌹Msisahau kusafisha uso na kupakaa mafuta Usiku huu
12/11/2025

Inspo✨🌹

Msisahau kusafisha uso na kupakaa mafuta Usiku huu

Ndugu zangu mmewafanya Nini wasafiri Jaman πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ™Œ Hii ni sawa na kwenda duka la vipodozi ukauziwa mafuta Bei juu kumbe fak...
11/11/2025

Ndugu zangu mmewafanya Nini wasafiri Jaman πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ™Œ

Hii ni sawa na kwenda duka la vipodozi ukauziwa mafuta Bei juu kumbe fake yakakubabue Ngozi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Thanks for feedback na Darling πŸ’–πŸŒΉ
19/10/2025

Thanks for feedback na Darling πŸ’–πŸŒΉ

Aweeeeh K**a unataka watu wakuulize unapakaa Nini Kwenye Ngozi yako basi tumia hii set ya kijanja πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ75000 tu unabebs vy...
19/10/2025

Aweeeeh
K**a unataka watu wakuulize unapakaa Nini Kwenye Ngozi yako basi tumia hii set ya kijanja πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
75000 tu unabebs vyooteee

Yes life is so private but you will never hide your skin❗️Just smoothen it with our Coffee Scrub and Magic Glow Body Oil...
19/10/2025

Yes life is so private but you will never hide your skin❗️
Just smoothen it with our Coffee Scrub and Magic Glow Body Oil, UnogeeeeπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ

Imagine mtu anakupigia simu anakwambia Nmetumia Turmeric Oil ya Samikar Natural Products Tz week 2 tu chunusi zimekauka ...
19/10/2025

Imagine mtu anakupigia simu anakwambia Nmetumia Turmeric Oil ya Samikar Natural Products Tz week 2 tu chunusi zimekauka na weusi mapajani umeanza kupungua sirudii kupigwa tena na zile zinazotrend hukoooπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nyiee rahaaa kupokea feedback k**a hizi
Turmeric oil 25000 tu
Wahii ingia kwenye button ya WhatsApp chap

Kwa wale wanaoujua kutunza Ngozi zao hawatakua na mashaka juu ya ubora wa Turmeric kwenye Ngozi Sasa basi, chukua hii Tu...
19/10/2025

Kwa wale wanaoujua kutunza Ngozi zao hawatakua na mashaka juu ya ubora wa Turmeric kwenye Ngozi

Sasa basi, chukua hii Turmeric oil Kwa 25000 tu katumie bila pressure baada ya week 2 tu njoo hapa tuambie umeona Nini?

Hii ni zaidi ya Mafuta
Yaaaani ni zaidi ya zile Trends huko Mjini
Hii ni Turmeric halisi ambayo haijachanganywa na Chochote

Tucheck hapa 0752328383
Au gusa hiyo button ya WhatsApp tukupe ushauri wa kutunza Ngozi Kwa vipodozi halisi na Salama

Address

Seedfarm
Songea
57001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Samikar Natural Products Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Samikar Natural Products Tz:

Share