Donbosco Choir Songea

Donbosco Choir Songea Kwaya ya Mt.Donbosco inahudumu katika kanisa kuu La Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimboni songea..

Misa ya Kwanza (1) saa 12.30 asubuhi,parokia ya Mtakatifu Mathias Mulumba kalemba,Songea Mjini,jimbo kuu katoliki Songea
17/01/2026

Misa ya Kwanza (1) saa 12.30 asubuhi,parokia ya Mtakatifu Mathias Mulumba kalemba,Songea Mjini,jimbo kuu katoliki Songea

Heri Nyote kwa sherehe yaUbatizo wa Bwana wetu Yesu Kristo
11/01/2026

Heri Nyote kwa sherehe yaUbatizo wa Bwana wetu Yesu Kristo

Heri sana ya mwaka mpya 2026
31/12/2025

Heri sana ya mwaka mpya 2026

Merry Christmass Familia Ya Mungu
25/12/2025

Merry Christmass Familia Ya Mungu

16/11/2025

Picha mabalimbali mara baada ya Misa Takatifu tuliohudumu katika Parokia ya Ifunda Jimbo kuu Katoliki Iringa

ASANTENI WANAIFUNDA.......




Baadhi ya matukio mbalimbali wakati wa  ibada Takatifu kabla ya kuanza safari kulekea Ifunda jimbo kuu katoliki Iringa  ...
14/11/2025

Baadhi ya matukio mbalimbali wakati wa ibada Takatifu kabla ya kuanza safari kulekea Ifunda jimbo kuu katoliki Iringa

IFUNDA TUNAKUJA

Tunakuja  Tuned
10/11/2025

Tunakuja
Tuned

SAFARI YA MWISHO YA CALISTA MICHAEL(RIP)Tunawashukuru wote kwa salamu za Pole,sala zenu na wote mliotukimbilua tulipoond...
21/10/2025

SAFARI YA MWISHO YA CALISTA MICHAEL
(RIP)
Tunawashukuru wote kwa salamu za Pole,sala zenu na wote mliotukimbilua tulipoondokewa na mpendwa wetu.Mungu wa Mbinguni awabariki sana

Mpendwa wetu ameshapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele.."Raha ya Milele umpe EE Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa Amani Amina"

"Pumzika kwa Amani Calista"

Pumzika kwa Amani Dada Calista ..Tunamshukuru Mungu kwa Maisha Yako Hapa Duniani..😭😭😭😭😭😭
20/10/2025

Pumzika kwa Amani Dada Calista ..Tunamshukuru Mungu kwa Maisha Yako Hapa Duniani..😭😭😭😭😭😭

Tunawatakia  heri sana ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mtumishi wa Mungu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
14/10/2025

Tunawatakia heri sana ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mtumishi wa Mungu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Tunakutakia Matashi Mema Mary..🥰
08/10/2025

Tunakutakia Matashi Mema Mary..🥰

03/10/2025

Challenge Accepted



"Moyo wangu Tulia Kawekamo kuna utakatifu"

Now available in Youtube channel
Tembelea channel yetu (kmdb Songea) kuona wimbo wote

Usisahau ku share,like na kusubscribe

Address

Songea

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Donbosco Choir Songea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Donbosco Choir Songea:

Share

Category