Ujuzin LTD Company

Ujuzin LTD Company UJUZIN ltd Company deals with Graphics and Designing. few among things we Design are
Notebooks, calendars, exercise books and wedding cards

15/04/2017

a blog for entertainment and new info

12/09/2016
15/07/2016

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

11/06/2016
somo maalumu kwa wale mnaopenda kujifunza jinsi ya kutengeneza blog . na kurepair flash zilizokufa..ucsahau kusubscribe ...
08/06/2016

somo maalumu kwa wale mnaopenda kujifunza jinsi ya kutengeneza blog . na kurepair flash zilizokufa..
ucsahau kusubscribe ili tumimiwe email mara tu nnapoweka somo jipya.

Hii ni blog maalumu kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ya computer na simu. kupitia hapa utapata tricks mbalimbali za computer zenye uhakika na si ubabaishaji. KARIBU

somo maalumu kwa wale mnaopenda kujifunza jinsi ya kutengeneza blog . na kurepair flash zilizokufa..ucsahau kusubscribe ...
08/06/2016

somo maalumu kwa wale mnaopenda kujifunza jinsi ya kutengeneza blog . na kurepair flash zilizokufa..
ucsahau kusubscribe ili tumimiwe email mara tu nnapoweka somo jipya.

26/05/2016

Wale wanakwetu wa online class tunaoendelea na somo la JINSI YA KUTENGENEZA WEBSITE (HTML)
leo vdeo ya somo ntawapa saa 10 badala ya muda ule tuliouzoea am sory kwa usumbufu utakaojitokeza..
Kwa mnaotaka kujiunga hajachelewa! Fanyeni kunichek kwa email [email protected] or inbox , nitakupa vdeo za masomo kuanzia tulipoanza na k**a hutaelewa(bt naamin utaelewa) bac ruksa kuuliza.
Pia ukitaka somo la jinsi ya kutengeneza blog nichek
IMELETWA KWENU NA
obby mjuzi©2016
WAPE TAARIFA

endapo unasumbuliwa na keyboard hii ndio altenative yake. tumia hii onscreen keyboard itakusaidia
25/05/2016

endapo unasumbuliwa na keyboard hii ndio altenative yake. tumia hii onscreen keyboard itakusaidia

Katika kipind hiki cha sikukuu za christmas na mwaka mpya  obbymjuzi.blogspot.com  inatoa ofa kwa wasanii na wafanya biashara. MSANII: ...

22/05/2016

Katika kipind hiki cha sikukuu za christmas na mwaka mpya  obbymjuzi.blogspot.com  inatoa ofa kwa wasanii na wafanya biashara. MSANII: ...

22/05/2016

TANGAZO(kwa walio sirias tu)
Kwa wale watu wa ONLINE CLASS ni kwamba kesho tunamalizia somo la kutengeneza BLOG.
Then tunaanza na somo la WEBSITE DEVELOPMENT.
Hili ni somo refu sana!
Na kwakuwa hatutaki kufundishana kukariri tutaanza na kitu kimoja kimoja.
Kwanza tunaanza kusoma
HTML deep.
hii ndio msingi mzima wa web making.
Hatusomi juu juu, tutachimba na mizizi yake.
Tunasoma kwa njia ya video
( kwa waliosoma blog making watakubaliana nami kwamba ONLINE CLASS ni msaada mkubwa sana)
Ukitaka kujua obby mjuzi anafanyaga nini tembelea youtube chanel yangu search obby mjuzi.
KWA WANAOHITAJI SOMO HILO AU LA BLOG MAKING WANICHEK KWA EMAIL
[email protected]
IMELETWA KWENU NA
obbymjuzi©2016
ASANTE
👆🏼
WAPE TAARIFA

Address

Rukwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujuzin LTD Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Ujuzin LTD Company:

Shortcuts

Share