Kilinge Pazasauti Page

Kilinge Pazasauti Page JUKWAA LA SANAA KWA VIJANA KWA MANUFAA YA SASA.

Tugusiane pia uku instagram
18/10/2024

Tugusiane pia uku instagram

3,273 Followers, 1,664 Following, 32 Posts - See Instagram photos and videos from

09/12/2022

Habari za siku wadau na mashabiki wa ukurasa wetu tunaomba razi kwa ukimya uliotawala kuhusu tamasha letu la wazi kwani kuna mabadiliko ambayo yanaendelea katika Taasisi yetu...
tunaomba muendelee kufuatilia ukurasa wetu kwa taarifa zaidi.
Kilinge Pazasauti Page Deejaygady
tunakuomba kusubscribe katika youtube chanel yetu kwa jina la kilinge pazasauti

About Last Night It was a great MomentPumping
26/06/2022

About Last Night It was a great Moment
Pumping

25/06/2022

Get ready to our new project
jukumu la kutunza mazingira ni kwa kila mmoja

HIP HOP NI ZAIDI YA MUZIKIHIP HOP NI UTAMADUNI.
24/06/2022

HIP HOP NI ZAIDI YA MUZIKI
HIP HOP NI UTAMADUNI.

Unaeza ukatuinbox whatsapp moja kwa moja kwa kubonyeza button ya whatsapp apa chini
24/06/2022

Unaeza ukatuinbox whatsapp moja kwa moja kwa kubonyeza button ya whatsapp apa chini

JUMAPILI HII KUNA TUKIO PALE CAPRI CABBANA LA HIP HOP ASILI FESTIVAL UKIPATA TAARIFA HII MJULISHE NA MWINGINE KUANZIA SA...
10/05/2022

JUMAPILI HII KUNA TUKIO PALE CAPRI CABBANA LA HIP HOP ASILI FESTIVAL
UKIPATA TAARIFA HII MJULISHE NA MWINGINE KUANZIA SAA NANE KAMILI MCHANA
Deejaygady

Mambo vipi Tz?? Pole na miangaiko ya dunia,Baada ya ukimya wa muda mrefu Castletz amekuletea LISTENING & WATCHING party....
04/04/2021

Mambo vipi Tz?? Pole na miangaiko ya dunia,Baada ya ukimya wa muda mrefu Castletz amekuletea LISTENING & WATCHING party. Hii itafanyika tarehe 10 mwezi wa 4 pale Green view karibu na chuo cha uhasibu TIA-Mwanza..

Shukran pia kwa..


creative.
na wengine wengi walioshiriki kufanikisha.
Karibu sana.

04/04/2021

KHERI YA SIKUKUU YA PASAKA
K**A Kilinge Pazasauti LEO HAKUTAKUWA NA ONESHO LETU KUTOKANA NA MSIBA WA TAIFA TULIONAO
ILA JUMAPILI IJAYO YA TAREHE 11 MWEZI WA 4 TUKUTANE PALE PALE....

BOFYA HII LINK   ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://youtu.be/x85XaZFIHrUMambo vipi ndugu yangu Samahani nakukaribisha kutazama video ๐Ÿ“บmpya kutok...
01/04/2021

BOFYA HII LINK
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://youtu.be/x85XaZFIHrU

Mambo vipi ndugu yangu Samahani nakukaribisha kutazama video ๐Ÿ“บmpya kutoka kwa Chriss pallo
USISAHAU
KU_LIKE
KU_SHARE
KU_COMMENT
NA KU_SUBSCRIBE
Asante๐Ÿ™๐Ÿ™

Chriss Pallo New Tanzanian Music 2021New East African MusicArtist: Chriss PalloSong: NitaponaVideo Director: DavieFor More Info:+255 767719335Chrisspallo09@...

25/03/2021

Hii ni ghafra kupita maelezo. Hakika Tanzania ipo kwenye majonzi makubwa sana baba. Ee Mungu ipokee roho ya Mwanao. Ee M...
25/03/2021

Hii ni ghafra kupita maelezo. Hakika Tanzania ipo kwenye majonzi makubwa sana baba. Ee Mungu ipokee roho ya Mwanao. Ee Mungu mrehemu popote alipokutenda mabaya. Ee Mungu ututie nguvu na tumaini jipya sisi Watanzania. Hakika inauma si kawaida. ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™. Rest in peace Jemedari

Address

Nyegezi Corner
Nyegezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilinge Pazasauti Page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Kilinge Pazasauti Page:

Share