26/07/2026
Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.
Mwanzo 26:22
Praise team AICT Makongoro - tunatangaza sifa za Mungu mkuu. Njoni watu wote tumwabudu Mungu amestahili kuabudiwa.
Mwanza
Be the first to know and let us send you an email when Praise Team AICT Makongoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.