Chafu poozo

Chafu poozo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chafu poozo, Comedy Club, vituko, Mwanza.

09/06/2021

Muhajiliwa awe na akili timamu pia awecna nguvu za kufanya kazi hatuitaji vyeti maan havifanyi kazi vyet

04/12/2020

Bia

20/10/2019
10/10/2019

MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
● Ujauzito wako unabadili umbo lake
● Anakua mnene
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.
Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.
Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.
Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.
Shea kwa Heshima ya Wanawake wote Duniani.

Address

Vituko
Mwanza
MSAF.COM

Telephone

0769505390

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chafu poozo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category