Vituko vya Leo

Vituko vya Leo Only for funny

Kuna wakati unajiona umepatia sana maisha.
22/12/2025

Kuna wakati unajiona umepatia sana maisha.

Kuna ukweli a hili jambo?
13/01/2024

Kuna ukweli a hili jambo?

06/01/2024

kuandaa chakula kizuri kwa familia yake.

Mwanamke hashindi mtandaoni bali anashinda kwenye vitu muhimu vitakavyoijenga akili yake na ndoa yake.

Mwanamke hathamini kazi yake kiasi cha kutelekeza watoto wake kwasababu kwa mwanamke timamu anajua kuwa watoto ni wake ila kazi ni ya muajiri wake.

Mwanamke hakai uchi mbele ya watoto wake kwasababu anajua watoto wake kutizama sehemu wapotoka ni laana. Mwanamke bora huanda chakula cha mumewe kwa mkono wake nasi kwa mkono wa mwengine.

Mwanamke hasa nguo za mume na shuka aliolalia yeye na mume wake haruhusu mwengine afue bali hufua kwa mkono wake ili kuitunza ndoa yake.

Mwanamke harudi usiku nyumbani kwake wakati mumewe kasharudi kwasababu anajua kuwa hiyo sio tabia ya mke bali ni tabia ya mdangaji.

Mwanamke bora yupo radhi kupoteza kazi yake kwa ajili ya kutunza ndoa yake

Karibuni mjiunge kwenye group hili.
09/10/2023

Karibuni mjiunge kwenye group hili.

WhatsApp Group Invite

08/10/2023

Natafuta mtu jina yake imeanza na
A- M-
Juu mm ni E- Eve N-NjeriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio ikuwe AMEN

Address

Mwanza
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vituko vya Leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category