Luchili Finest

Luchili Finest 📌Master Ceremony (Mc)
📌Decorations & Tents
📌Match commentator|
📌Booking | 0628681903 |

🔥 KATAPIRA CUP – FAINALI! 🔥COMPUTER FC 🆚 KMC FC📅 11/09/2026📍 Shule ya Msingi Luchili⏰ Saa 10:00 Jioni🎟️ Kiingilio: TSh 1...
08/09/2026

🔥 KATAPIRA CUP – FAINALI! 🔥
COMPUTER FC 🆚 KMC FC
📅 11/09/2026
📍 Shule ya Msingi Luchili
⏰ Saa 10:00 Jioni
🎟️ Kiingilio: TSh 1,000
🎙️ Match Commentator: Elisha Robert Ramadhan (Luchili Finest)
🔥 Mchezo wa mwisho, ushindi ni wa mmoja!
Usikose fainali hii—njoo tushuhudie historia ikiandikwa! 🏆⚽
@following@topfans

01/05/2026

Tulianza namna hii Mei mosi 2026




25/04/2026

Sikiliza tangazo maalumu kutoka kwa dj

08/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Sheila Babrian, Elia Fernandez Jr., Hashim Hussain Adam

KONGAMANO LA VIWAWATwenzetu bukokwa kwanini ubaki     nyumbani ???   Yes tunawaalika viwawa wote kuhudhuria kongamano li...
13/03/2026

KONGAMANO LA VIWAWA

Twenzetu bukokwa kwanini ubaki nyumbani ??? Yes tunawaalika viwawa wote kuhudhuria kongamano litaanza tarehe 14 March saa mbili asubuhi fika mapema zaidi lakini K**a haitoshi kongamano litaambatana na michezo K**a vile mpira wa Pete kwa wanawake Kati ya viwawa karebejo vs viwawa bomani baada ya hap mpira wa miguu kwa wanawake na baada ya hapo ni football kwa wanaume unakosaje kwa mfano??? kwenye moja na mbili ni sauti ya Luchili finest mjukuu wa bi gaudensi bomani
kalebejo
Following

15/02/2026

With Gharib Mzinga – I just got recognized as one of their top fans!

13/02/2026

Vipi wakuu naweza au nimezingua

MSHIKEMSHIKE: Nini kifanyike kwa klabu za Yanga SC na Azam FC ili ziweze kumaliza katika nafasi mbili za juu kwenye maku...
11/02/2026

MSHIKEMSHIKE: Nini kifanyike kwa klabu za Yanga SC na Azam FC ili ziweze kumaliza katika nafasi mbili za juu kwenye makundi yao CAF?

Tuandikie maoni yako na sisi tutayasoma kwenye kipipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luchili Finest posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Luchili Finest:

Shortcuts

Share