Befu Animations

Befu Animations Entertainment page

*OfisiLink* – Mfumo wa Usimamizi wa Ofisi*OfisiLink* ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa ofisi (Office Management System)...
03/01/2026

*OfisiLink* – Mfumo wa Usimamizi wa Ofisi

*OfisiLink* ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa ofisi (Office Management System) uliobuniwa kusaidia taasisi na mashirika kusimamia shughuli zao za kila siku kwa ufanisi, uwazi na urahisi.

Mfumo huu unajumuisha moduli mbalimbali muhimu k**a ifuatavyo:

*1. Usimamizi wa Maombi ya Kifedha (Financial Requests Management)*
OfisiLink unasaidia kusimamia maombi ya kifedha ikiwemo:
1. Imprest
2. Petty Cash
3. Uwasilishaji wa maombi, uidhinishaji (approval) na retirement
4. Ufuatiliaji wa matumizi ya bajeti kulingana na mpango kazi wa mwaka (Annual Work Plan)
5. Kufuatilia matumizi halisi dhidi ya bajeti iliyopangwa

*2. Usimamizi wa Miradi na Kazi za Ofisi (Project & Task Management)*
Mfumo unarahisisha:
1. Kutengeneza projects, tasks na activities
2. Kumteua team leader na wanateam kwa kila activity
3. Kila mtumishi kuwasilisha taarifa ya kazi alizofanya
4. Kufuatilia maendeleo ya kazi kwa wakati (real-time progress tracking)

*3. Usimamizi wa Mafaili na Nyaraka (File & Document Management)*
OfisiLink unasimamia:
1. Nyaraka za kidigitali (digital files) na nyaraka za kawaida (physical files)
2. Kudhibiti nani ana ruhusa ya kuona au kutumia nyaraka fulani
3. Kujua file liko wapi, nani amelichukua na kwa muda gani
4. Kuhifadhi kumbukumbu kwa usalama na urahisi wa kuzirejesha

*4. Usimamizi wa Rasilimali Watu – HR (Human Resource Management)*
Mfumo unahusisha:
1. Taarifa kamili za watumishi
2. Maombi ya ruhusa, likizo na sick sheets
3. Upimaji wa utendaji wa watumishi (Performance Appraisal)
4. Uandaaji wa Payroll
5. Ufuatiliaji wa mahudhurio ya watumishi

*5. Usimamizi wa Matukio na Malalamiko (Incident Management)*
OfisiLink unasaidia:
1. Kupokea na kurekodi incidents zote
2. Kubaini nani anashughulikia tukio husika
3. Kufuatilia hatua za utatuzi
4. Kuhifadhi historia ya matukio na maamuzi yaliyofanyika

*6. Usimamizi wa Vikao na Mikutano (Meetings & Minutes Management)*
Mfumo unahusika na:
1. Kupanga na kusimamia ratiba za vikao na mikutano
2. Kuandaa na kuhifadhi minutes
3. Kufuatilia na kusimamia maazimio/yatokanayo (action points)

---

*Sifa Kuu za Mfumo wa OfisiLink*
1. Web-Based System - Mfumo unaendeshwa kupitia mtandao, hivyo unaweza kusimamia ofisi yako popote ulipo.
2. Multi-Device Support - Unafanya kazi vizuri kwenye: Simu (Smartphones), Tablets, Kompyuta (Desktops & Laptops)
3. Online & Offline Capability: Mfumo unaweza: Kutumika bila internet (offline) Au kutumia internet kulingana na mazingira na mahitaji ya mteja
4. Biometric Integration - OfisiLink umeunganishwa na Biometric System kwa ajili ya: Kuchukua attendance za wafanyakazi, Kuimarisha usahihi wa taarifa za mahudhurio

Good afternoon
03/01/2026

Good afternoon

*ShuleLink – Mfumo wa Usimamizi wa Shule**ShuleLink* ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa shule (School Management System)...
03/01/2026

*ShuleLink – Mfumo wa Usimamizi wa Shule*
*ShuleLink* ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa shule (School Management System) uliobuniwa kusaidia shule za *Awali (Pre-Primary), Msingi (Primary) na Sekondari (Secondary)* kusimamia shughuli zao za kila siku kwa ufanisi, uwazi na urahisi.
Mfumo huu unaunganisha uongozi wa shule, walimu, wanafunzi na wazazi kupitia teknolojia ya kisasa, huku ukirahisisha kazi za kitaaluma, kiutawala na kifedha.
---
*Moduli Muhimu za Mfumo wa ShuleLink*

*1. Usimamizi wa Taasisi na Muundo wa Shule*
ShuleLink unasaidia:
1. Kusajili shule, madarasa, na masomo
2. Kusimamia muundo wa kitaaluma wa shule
3. Kudhibiti taarifa za shule kwa mpangilio mzuri

*2. Usimamizi wa Wanafunzi na Wazazi*
Mfumo unahusisha:
1. Usajili na usimamizi wa wanafunzi
2. Kusajili wazazi/walezi na kuwaunganisha na wanafunzi wao
3. Wazazi kuona taarifa za mwanafunzi kupitia akaunti zao kwa web based au App
4. Historia kamili ya mwanafunzi kitaaluma na kiutawala

*3. Usimamizi wa Walimu na Wafanyakazi*
ShuleLink unarahisisha:
1. Usajili wa walimu na wafanyakazi wa shule
2. Ugawaji wa vipindi na majukumu
3. Walimu kuona ratiba zao za kila siku na wiki
4. Vikumbusho vya vipindi kwa walimu (alarm & notifications (SMS & Email))

*4. Mahudhurio ya Kisasa (Biometric Attendance)*
Mfumo unajumuisha:
1. Mahudhurio ya wanafunzi kwa biometric
2. Mahudhurio ya walimu na wafanyakazi kwa biometric
3. Taarifa za mahudhurio kwa wakati halisi
4. Ujumbe wa mahudhurio kutumwa kwa wazazi papo hapo

*5. Usimamizi wa Vipindi na Mitihani*
ShuleLink unasaidia:
1. Kutengeneza na kusimamia ratiba za vipindi
2. Kuunda ratiba za mitihani
3. Kutuma taarifa za vipindi kwa walimu
4. Kufuatilia utekelezaji wa vipindi darasani

*6. Mawasiliano na Matangazo ya Shule*
Mfumo unahusisha:
1. Kutuma matangazo ya shule
2. Kutuma taarifa muhimu kwa wazazi na walimu
3. Mawasiliano kupitia Email, SMS na App
4. Ujumbe kufika kwa walengwa kwa wakati halisi

*7. Usimamizi wa Ada na Malipo ya Shule*
ShuleLink unarahisisha:
1. Kuandaa muundo wa ada za shule
2. Kutengeneza Control Number kwa kila mwanafunzi
3. Malipo ya ada kupitia mitandao ya simu na Benki
4. Mfumo kusasisha malipo moja kwa moja (real-time) kwa malipo yaliyofanyika
5. Kufuatilia ada zilizolipwa na ambazo hazijalipwa

*8. Ripoti na Takwimu*
Mfumo unazalisha:
1. Ripoti za kitaaluma
2. Ripoti za mahudhurio
3. Ripoti za kifedha
4. Takwimu za kusaidia maamuzi ya uongozi

---
*Sifa Kuu za Mfumo wa ShuleLink*
1. *Web-Based System* – Mfumo unatumika kupitia mtandao, unaweza kuusimamia shule popote ulipo.
2. *Multi-Device Support* – Unafanya kazi kwenye simu janja, tablet, laptop na desktop.
3. *Mobile App kwa Wazazi/Walezi* – Inapatikana Android na iOS.
4. *Payment and Biometric Integration* – Huongeza usahihi wa malipo ya SHule na mahudhurio.
5. *Real-Time Updates* – Taarifa na malipo husasishwa papo hapo.
---
*Mawasiliano*
Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutupata kupitia namba ya simu 0764 628402 au 0749 719998
Website: www.emca.tech
Email adress: [email protected].
Au unaweza kutembelea ofisi zetu zilizopo Kilimanjaro Mkabala na Mahak**a kuu Ofisi za Mkuu wa Mkoa mtaa wa Benbella.
*Karibuni sana*

05/10/2025

Address

Moshi, Kilimanjaro
Moshi
BEFU@2018

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Befu Animations posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category