SDA Church Majengo Youth Choir

SDA Church Majengo Youth Choir Official page of SDA Church Majengo Youth Choir - Moshi πŸŽ€πŸŽ™οΈ
to Minister πŸ™πŸ½

Uzinduzi wa "Sauti Moja 27 - Utume kwa Wote", tukiungana na Kanisa la Waadventista wa Sabato ulimwenguni katika uzinduzi...
06/09/2026

Uzinduzi wa "Sauti Moja 27 - Utume kwa Wote", tukiungana na Kanisa la Waadventista wa Sabato ulimwenguni katika uzinduzi huo trh 05/09/2026, unaotazamiwa kufanyika rasmi mwaka 2027.

01/09/2026

Women in ministryπŸ˜ŠπŸ™πŸ½

Sabato ya tarehe 22/08/2026 kwaya ya vijana Kanisa la Waadventista wa Sabato Majengo-Moshi, tulitembelea na kushiriki ib...
25/08/2026

Sabato ya tarehe 22/08/2026 kwaya ya vijana Kanisa la Waadventista wa Sabato Majengo-Moshi, tulitembelea na kushiriki ibada ya Sabato hiyo katika kundi letu la Kidia lililopo milima ya uchagani. Ikiwa ni mojawapo ya mipango ya kanisa letu kuyatia joto makundi yetu ili kudumisha uhai wa washiriki.

05/08/2026

Tukipashapasha kidogo kwenye zoezi la kwayaπŸ˜ŠπŸ™πŸ½
#2026

25/07/2026

Kwaya ya Vijana Kanisa la Waadventista wa Sabato Majengo tukimtukuza Mungu katika Makambi ya mtaa wa wetu wa Majengo - Moshi 2026, NETC.

YouTube link ya wimbo huu kwenye (karibu ku-subscribe, ku-like na ku-share)πŸ€πŸ™πŸ½

Kwaya ya vijana SDA Church Majengo Youth Choir Majengo SDA Church-Moshi Majengo Sdachurch , katika Sabato ya hitimisho l...
19/07/2026

Kwaya ya vijana SDA Church Majengo Youth Choir Majengo SDA Church-Moshi Majengo Sdachurch , katika Sabato ya hitimisho la makambi mtaa wa Majengo-Moshi 2026.

12/07/2026

Gwaride la heshima kumpokea Mwenyekiti wa Jimbo la Kaskazini Mashariki mwa Tanzania North East Tanzania Confrence (NETC) Mchungaji Leopold Mao na Mwenyekiti wa Hopemedia Trvf Mchungaji/Daktari Caleb Migombo, wakisindikizwa na Mchungaji wa mtaa wa Majengo-Moshi Paul Shigella katika uzinduzi wa Makambi mtaa wa Majengo-Moshi leo tarehe 12/07/2026.

01/07/2026

Ewe kijana/binti (22-35) wimbo huu unakugusa kwa namna gani? Ewe ndugu (36+) huu wimbo unakukumbusha nini?

Tulifurahi pamoja katika Sabato ya pekee ya Vijana, iliyojumuisha vijana kutoka Kanisa la Majengo Sdachurch na Kariwa In...
01/07/2026

Tulifurahi pamoja katika Sabato ya pekee ya Vijana, iliyojumuisha vijana kutoka Kanisa la Majengo Sdachurch na Kariwa International SDA Church . Naam, hakika iliambatana na sherehe ya kuwapongeza wahitimu wa mafunzo ya kiongozi mkuu na kiongozi mwandamizi.

Address

Majengo
Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SDA Church Majengo Youth Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category