Mpepe DizaynaTz

Mpepe DizaynaTz Music Dizayna �

08/11/2024

Mpepe Dizayna
I LIKE BODY COLOR
videoCover (🅱️ONGO MUSICAL

SIKio👂 Nimboni Ya jicho la Hisia nayo Hisia Nijicho Halisi Tena Kunalo jicho la Rohoni Nayo Ni Imani. So Tusikate Tamaa....
01/11/2024

SIKio👂 Nimboni Ya jicho la Hisia nayo Hisia Nijicho Halisi Tena Kunalo jicho la Rohoni Nayo Ni Imani.
So Tusikate Tamaa.. Kiasi cha Kumchukia

MUNGU

Huwa Hamnyimi Mtu lidhiki Et Kisa Wewe Humpendi.. 😡 na unamchukia

Mchawi nimchawi2Wavaaa suti na Madera wote Wanga 2
01/11/2024

Mchawi nimchawi2
Wavaaa suti na Madera wote Wanga 2

THE WINNER IS GODMy world is no Bard perfect ❤️Cause wachawi Hawaishi Sababu Hata Ukifa watakuja Kucheza Uchi Juu ya Kab...
01/11/2024

THE WINNER IS GOD
My world is no Bard perfect ❤️
Cause wachawi Hawaishi Sababu Hata Ukifa watakuja Kucheza Uchi Juu ya Kaburi Yako Tena wengine ndugu Kabisa

MUNGU Tubariki Wanao Nasi Tuvuke Njia Za Muongo. Maana macho ya Uanadamu Hutazama Wili ila Wewe huitazama Harisi
01/11/2024

MUNGU
Tubariki Wanao Nasi Tuvuke Njia Za Muongo. Maana macho ya Uanadamu Hutazama Wili ila Wewe huitazama Harisi

Star ⭐
31/10/2024

Star ⭐

Shule zimefungwa lakini jela hazijafungwa. Few seconds can make you rot in jail. Tafakali hayo ndugu 🙄. Sisi Tulio Toka ...
31/10/2024

Shule zimefungwa lakini jela hazijafungwa. Few seconds can make you rot in jail. Tafakali hayo ndugu 🙄. Sisi Tulio Toka Kijijini Kuja mjini Kuokota makopo

Tunaishi Kwenye Dunia AmbayoNdugu Hakujui Hadi Umzidi Kipato ..............................................................
31/10/2024

Tunaishi Kwenye Dunia Ambayo
Ndugu Hakujui Hadi Umzidi Kipato ..................................................................................................................
Mchawi wa Kwanza wa maisha Yako Ni wewe Mwenye. ...................................................................................................................
USILUHUSU MWENYE CHUKI NA WEWE AKUTAWALE. .....................................................................................ATAKU,UA ⚰️

Palipo namafanikio Hapakosi Maadui.. so Piga Moyo Konde Mtangulize MUNGU yeye Hajawahi Kushindwa. ______________________...
31/10/2024

Palipo namafanikio Hapakosi Maadui.. so Piga Moyo Konde Mtangulize MUNGU yeye Hajawahi Kushindwa.
_____________________________❤️💛

Address

Www. Mpepedizayna. Com
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpepe DizaynaTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share