Mtu Mwaminifu Mtu Makini

Mtu Mwaminifu Mtu  Makini we'll come my Son & my Daughter... to this site, to join with Friends Worldwide. ok! �� we'll come

Shemeji yetu huyu sijui ilikuwa je! Kukataa ndoa kwa kaka yetu AllyKiba
08/01/2025

Shemeji yetu huyu sijui ilikuwa je! Kukataa ndoa kwa kaka yetu AllyKiba

Diva aachia mvut0 wake mpya...

https://youtu.be/6puMNtyghQc

06/01/2025

Baada ya kufunga ndoa siku chache zilizopita, Rammy Galis mwigizaji wa Kibongo ambaye pia kwasasa ni rubani wa ndege ameibuka kuongea hayo kwa wanaume..

"Tunawachukulie sana poa watoto wa K**e haswaa wanaoamua kutupenda na kutuvumilia . Ligi wanayokutana nayo mtaani sio ligi nyepesi , Wewe ni mwanaume unaye tongoza, Ila yeye ni mwanamke anayetongozwa . Wewe mwanaume unaweza ukajikaza kwa wiki ukatongoza mwanamke (1) , Ila yeye ni mwanamke ata aweze kujikaza vipi anaweza kutongozwa hata na wanaume kumi (10) . Kuwaambia wote sitaki 🚫 sio jambo dogo , kuwaambia wote hawataki ❌ sio ujinga , huo ni Upendo mwanangu .
Imagine ungekua wewe mtoto Kiume unafatwa na wanawake 10 kila wiki na maumbile yao tofauti tofauti, ungekua na misuli ya kuwakataa wote ? Tafakari , Muhehim huyo Dada .
Tafakari ni wangapi wanawatuma marafiki zake ? , wangapi wameshakula vijisalio kwajili wampate yeye . Tafakari wangapi wameshataka kulipa bill wapate tu namba yake ya simu ? , Tafakari wangapi wameshasimamisha magari ya kifahari , wangapi wamesha kimbiza Bodaboda? , Vipi wale wa bill yake ilete kwangu ? Umewahi kufanikiwa kifkra kujiuliza haya ? .
Sio kwamba Una hela hivo , sio kwamba una Upendo sanaa , Sio kwamba una mjali sanaaa . İla Ana Upendo na Wewe . Wakati mwingine ana amini kua Maisha yako yako very Tuff , Lakini anai amini sana kesho yako .

Ogopa sana kumliza sana mwanangu 🥹 , Akiondoka ndio utajua MTANAE UMKUNJE PAMEJAA SANA BRO , Ukitaka kujua tafsiri ya neno hili , basi hilo ni darasa la siku nyingine"

https://youtu.be/4s2aalowilo?si=34UaiKLJ7iSJwB6g

06/01/2025

Staa wa Bongofleva, Zuchu akiwa anacheza na watoto katika mvua hivi karibuni.

Kwa muonekano huu, utaamini kuwa Zuchu ana umri wa miaka 31?.

04/01/2025

Unaambiwa huko Marekani Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi nyuma mwaka 2024.... 🤯

Usishangae sana Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong china muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya..🤔

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ikatua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles Marekani saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena 2025....🤯

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024..Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!"

𝗡𝗕: 𝗔𝗕𝗜𝗥𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗪𝗘𝗞𝗔 𝗥𝗘𝗞𝗢𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗘𝗥𝗘𝗞𝗘𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗠𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗔𝗪𝗜𝗟𝗜 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗨𝗧𝗜....😁 BONGO SIHAMIII..(bongo raha)BONGO SIHAMIII..(bongo raha)

Kwa Manara Tv – Nimefanikiwa kuingia kwenye orodha yake ya kila wiki ya uhusikaji kwa kuwa mmoja wa washiriki wake bora!
04/01/2025

Kwa Manara Tv – Nimefanikiwa kuingia kwenye orodha yake ya kila wiki ya uhusikaji kwa kuwa mmoja wa washiriki wake bora!

K**a utakuwa na Neno drop hapa chini
28/12/2024

K**a utakuwa na Neno drop hapa chini

Miaka iliyo pita Simba ili fanyiwa Figisu zinazo jitokeza live, Timu iki cheza na Simba Ina Ahdiwa Pesa ndefu sana, Sasa...
28/12/2024

Miaka iliyo pita Simba ili fanyiwa Figisu zinazo jitokeza live, Timu iki cheza na Simba Ina Ahdiwa Pesa ndefu sana, Sasa kwanini, msii weke Kwa Simba Wafungwe waichukue tu. Kumnishaa zenu nyie mlio iwekea Izo pesa na Leo mnafungwa Tatu sasa

SINGIDA WAAHIDIWA MILIONI 50 KUMFUNGA SIMBA
Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono k**a motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.
Kigogo huyo amatoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji k**a wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.

Nyie ngedere mnao miliki Facebook acheni usenge wenu,Nanyie vihere here mnao jiita Wasimamiaji wa Mtandao acheni UK fala...
22/12/2024

Nyie ngedere mnao miliki Facebook acheni usenge wenu,Nanyie vihere here mnao jiita Wasimamiaji wa Mtandao acheni UK fala nyie mna save page zetu kudadadeki, Na nyie mnao turetea Hizi Device zenu muache Umalaya, Simu yangu IP yangu shobo za nini hasa Tigo/voda/Airtel mtu lindie page zetu bhana.pia Kuna mshamba mmoja ana miliki yangu.sasa ajiandae.amechukua Gmail yangu ana itumia,namba Yako ninayo

Address

Ruaha
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu Mwaminifu Mtu Makini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share