Chuma 255

Chuma 255 Page hii ni kwa ajili ya Habari na Elimu. [email protected] +255 712 222244

Cool and respectfull life time, out going,down to earth love making friends,i love all hate me?

15/08/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

07/08/2026
04/08/2026

Location tamu sana ipo hapa
Morogoro, ndani ya Milima ya Uluguru!
Karibu na Choma Waterfalls, kuna eneo jipya lenye mandhari ya kuvutia, mazingira ya asili na mwonekano mzuri kwa ajili ya mapumziko, picha na video. Kutoka eneo hili hadi Choma Waterfalls ni dakika 5 tu.
Ukipenda kugundua maeneo mazuri k**a haya, tufollow, like, comment, share, na save ukurasa huu ili usikose maeneo mengine ya kuvutia tunayokuletea.

Mawasiliano/WhatsApp: 0628 534 041
Gaidar wako yupo tayari kukuongoza kwenye safari ya
kutembelea maeneo haya ya kipekee.

TravelTanzania
VisitMorogoro TourGuide Adventure BeautifulDestinat

03/08/2026

Taarifa zilizotufikia zinasema Mkurugenzi wa
Mipango Used spea Mjomba Mipango amefariki Dunia
Mipango amefariki siku ya Jana 01 August 2026 na kuzikwa
Leo 02 August 2026. Pumzika Kwa amani Mjomba.

27/07/2026

Kizito Samweli Mpeka, aliyekuwa Afisa TEHAMA Mkuu Daraja la I, Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Kifedha na Huduma za Ndani za TEHAMA, aliyefariki dunia leo tarehe 25 Julai, 2026 kwa ajali ya gari katika eneo la pandambili mkoani Dodoma.
Mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa mkoani Dodoma.

Taratibu za mazishi zinaendelea kufanywa na familia ya Marehemu Morogoro Ambapo Msiba upo Nyumbani kwao njia ya kwenda kwa mkuu wa mkoa kata ya Mlimani.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi-Amen.

17/07/2026

Moja vipi wewe

13/07/2026

Ujenzi wa Barabara ya Bigwa Kisaki Mkoani Morogoro kwa Kiwango la Lami umefikia asilimia 2 huku ukitarajiwa kukamilika mwezi Disemba 2027 ambapo kwa awamu ya kwanza utajengwa Kilometa 78 kutoka Bigwa hadi
Mvuha na utagharimu Bilioni 132
Akizungumza mbele ya Waziri wa Ujenzi Abdalah Ulega, Kaimu Meneja wa Tanords Mkoa wa Morogoro Patrick Lambita amesema barabara hiyo imechelewa kwa asilimia 34.9 ambapo tangu ianze kujengwa Septemba 2025 ulitakiwa uwe asilimia
38.
Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi Abdalah Ulega amemtaka Mkandarasi wa mradi huo kufanya matengenezo ya barabara na ipitike kwa kupindi chote wakati ujenzi ukiendelea.

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuma 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Chuma 255:

Shortcuts

Share