Yaz Lee Contents

Yaz Lee Contents Page hii inahusu elimu mbalimbali zitakazokupa ujuzi, maarifa, mawazo na mbinu tofauti katika maisha.

18/06/2024

K**a utapoteza muda wako kukimbiza vipepeo watapeperuka tu. Lakini ukatumia muda wako kutengeneza bustani nzuri na ya kuvutia vipepeo watakuja wenyewe bustanini kwako...
Usifukuze bali Vutia.....
@@ #@ yaz lee

FAHAMU KUHUSU MALARIA KUPANDA KICHWANIWengi wetu tumekua tukisikia mitaani kuhusu malaria kupanda kichwani, hii malaria ...
23/02/2024

FAHAMU KUHUSU MALARIA KUPANDA KICHWANI

Wengi wetu tumekua tukisikia mitaani kuhusu malaria kupanda kichwani, hii malaria kupanda kichwani ni nini hasa na ni kweli inatokea malaria kupanda kichwani?

Ipo hivi;vimelea vya malaria vinavyojulikana k**a plasmodium huingia mwilini na kwenda moja kwa moja kwenye red blood cells(seli hai nyekundu za damu) na kukutana na Haemoglobin ambazo huzishambulia kwani ndio hula na kuendelea kuzaliana na ndivyo huzidi kula haemoglobin nyingi zaidi na malaria kuzidi kua kali. Haemoglobin ndizo ambazo huungana na oksijeni na kuisafirisha katika sehemu mbali mbali za mwili.

Sasa haemoglobin zikishapungua kwa wakati huo haziwezi kuungana na oksijeni ya kutosha zilizobaki na kuisafirisha sehemu mbali mbali za mwili ikiwemo ubongo ambao hutumia oksijeni kufanya kazi zake k**a vile kufikiria, kukumbuka na kutafsiri taarifa zinazoletwa kupitia mfumo wa neva.
Hivyo haemoglobin zinashindwa kupeleka oksijeni ya kutosha kwenye ubongo na hivyo ubongo unashindwa kufanya kazi zake katika kiwango chake na ndipo hapo mgonjwa wa malaria anaonekana k**a amepandwa na kichaa na kuchanganyikiwa na ndipo hapo tunasema sasa malaria imepanda kichwani.

Tafadhal follow page yangu na kualika wengine pia ili kuendelea kupeana madini mengi ya kutosha kuhusu afya, fedha, maisha na maendeleo binafsi. Hapa ni kupeana ujuzi na elimu tu. Ahsante.

Imeandaliwa nami yaz lee jr..

16/02/2024

If you don't value your time, neither will others Stop giving away your time and talents,
start charging it.

16/02/2024

Safari kuelekea katika mafanikio inawezekana ikawa ndefu lakini kujituma na kujiamini yote yanawezekana..

Address

Morogoro

Telephone

+255710997482

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yaz Lee Contents posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category