Daudi mwakapimba

Daudi mwakapimba For entertainment , Education and Tourism

HAKI YA KUISHI.Hii inapatikana katika Ibara ya  14 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA na pia Ibara ya 3 ya ta...
20/03/2024

HAKI YA KUISHI.

Hii inapatikana katika Ibara ya 14 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA na pia Ibara ya 3 ya tamko la kiulimwengu juu ya Haki za binadamu.

Kwamba Kila mtu anayo Haki ya KUISHI na kulindiwa uhai wake.

Si hivyo tu , hata katika , MAANDIKO matakatifu IMEANDIKWA USIUE .

BASI,

K**A UNAMJUA MUNGU, BASI JITAHIDI SANA, KUSALI KATIKA MAISHA YAKO NA KUMWABUDU YEYE.

KWANI KUPITIA KUMWABUDU MUNGU, ITAKUSAIDIA KUHESHIMU MAADILI YA KIDINI NA KIJAMII PIA.

HATA KWA YULE AMBAYE HAMJUI MUNGU, UNAPASWA KUTAMBUA KWAMBA KUNA MAADILI YA KIJAMII AMBAYO UNAPASWA KUYAISHI.

MARA NYINGI MATUKIO YA MAUAJI YAMEKUWA YAKISABABISHWA NA:
1.KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI PAMOJA NA VISASI.
WALE WA MAANDIKO, TUNASEMA KISASI NI JUU YA MUNGU, K**A UMEUMIA VUMILIA HIVYO HIVYO, AU NENDA POLISI, USIJICHUKULIE SHERIA MKONONI KWANI HIYO SI HAKI NA PIA ITASABABISHA NA WEWE UPATE MADHARA.

2. UGOMVI MAJUMBANI.
NYIE MLIO OA NA KUOLEWA, MTANGULIZENI MUNGU, MALIZENI MIGOGORO YENU, MNAFANYAJE IBADA YA FAMILIA MNAUGOMVI?
SULUHISHENI MAMBO, CHUNGENI KAULI ZENU MNAZOZITOA KWA WENZI WENU, PIA UKIMYA NI BORA KULIKO KUJIBU KAULI MBAYA ULIOPEWA NA MWENZI WAKO .

3. WIVU WA MAPENZI.
ACHENI MICHEPUKO , MNAWATIA WATU MSONGO WA MAWAZO NA HASIRA ZINAZOPELEKEA, KUTENDA VITENDO VYA MAUAJI.
LAKINI UKIMWABUDU MUNGU KWA ROHO NA KWELI HAUTA CHEPUKA.
KILA MTU ATIMIZE WAJIBU WAKE.

4.WIZI WA KAWAIDA.
UNAIBA UNALOGWA AU UMAPIGWA MAWE. IMEANDIKWA USIIBE, HIVYO MREJEE MUNGU.

5. UGOMVI VILABUNI
ULEVI NI DHAMBI ACHA.

6. MIGOGORO YA ARDHI.
USIWE NA TAMAA, RIDHIKA NA ARDHI YAKO.

YAPOMENGI YAKUELEZA ILA KWA LEO HAYO YANATOSHA.

NB: KILA MWANADAMU ANATAMANI KUONEKANA ANA UMUHIMU NA ANAHESHIMIKA KUWA SEHEMU YA KULITIMIZA HILI KATIKA MAISHA YAKO NA KUMWABUDU MUNGU ITAKUSAIDIA KUHESHIMU MAADILI YA KIJAMII NA KIDINI.

USISABABISHE KIFO CHA MWANADAMU.

EZEKIELI 33:11, MUNGU HAKUFURAHII KUFA KWAKE MTU MWOVU BALI AGHAIRI UOVU WAKE AKAISHI.

William Mbeke

15/12/2023
26/11/2022

Sabato njema

*BAADHI YA SIRI NDANI YA NDOA UNAPASWA KUZIJUA.  (KWA WASIO NA NDOA NA WALIO NA NDOA)*              ♥️Siri ya 1 Kila una...
21/08/2022

*BAADHI YA SIRI NDANI YA NDOA UNAPASWA KUZIJUA. (KWA WASIO NA NDOA NA WALIO NA NDOA)*

♥️Siri ya 1

Kila unayemuoa ana udhaifu. Namaanisha, lazima kuna kitu mwenzako hakiko sawa na wewe hupendi. Mungu pekee hana udhaifu. Hivyo ukizingatia udhaifu wa mwenzi wako huwezi kupata kilicho bora kutoka kwake.

♥️Siri ya 2

Kila mtu ana historia ya mbaya. Hakuna aliye malaika. Unapooa au unataka kuolewa acha kuambatana na mambo ya zamani ya mtu. Kilicho muhimu zaidi ni maisha ya sasa ya mwenzi wako. Mambo ya zamani yamepita. Samehe na Sahau. Zingatia mambo ya sasa na yajayo.

♥️Siri ya 3

Kila ndoa ina changamoto zake. Ndoa sio kitanda cha waridi. Kila ndoa nzuri imepitia mtihani wake wa moto mkali. Upendo wa kweli unathibitika wakati wa changamoto. Pigania ndoa yako. Fanya uamuzi wa kukaa na mwenzi wako wakati wa shida. Kumbuka kiapo "Kwenye shida na raha" Katika ugonjwa na afya kuwa huko.

♥️Siri ya 4

Kila ndoa ina viwango tofauti vya mafanikio. Mungu anaweza kuchagua kubariki Ndoa "A" kwa kupandishwa cheo kwa mume, Ndoa "B" inaweza kuwa kilio cha mtoto mchanga wakati Ndoa "C" inaweza kuwa ongezeko la biashara. Usilinganishe ndoa yako na mtu mwingine yeyote. Hatuwezi kuwa sawa. Wengine watakuwa mbali, wengine nyuma. Ili kuepuka makwazo ya ndoa, kuwa na subira, fanya kazi kwa bidii na baada ya muda ndoto zako zitatimia.

♥️Siri 5

Kuoa ni kutangaza vita. Unapooa lazima utangaze vita dhidi ya maadui wa ndoa. Baadhi ya maadui wa ndoa ni:

Ujinga
Kutokuomba
Kutokusamehe
Ushawishi wa mtu wa tatu
Uchovu
Ukaidi
Ukosefu wa upendo
Ukosefu wa ufahamu
Ufidhuli
Uvivu
Kutoheshimu
Kusaliti, nk
Kuwa tayari kupigana kudumisha eneo lako la ndoa.

♥️Siri 6

Hakuna ndoa kamilifu. Hakuna ndoa iliyotengenezwa tayari. Ndoa ni kazi ngumu. Jitolee kufanya kazi kila siku. Ndoa ni k**a gari linalohitaji matengenezo na huduma ifaayo. Hili lisipofanyika litaharibika ma

Thank you dar es salaam
15/08/2022

Thank you dar es salaam

This is how my page grow up ! Thank you members particularly Tanzanian
15/08/2022

This is how my page grow up ! Thank you members particularly Tanzanian

Address

Kola
Morogoro
23

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daudi mwakapimba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share