Ivan Gallery

Ivan Gallery You see it, You need it, I create it, You enjoy it ���

 😂✍🏽🎨🫴🏽 DAAH  😂
13/05/2026

😂✍🏽🎨🫴🏽 DAAH 😂



13/05/2026

K**a ulikuwepo wakati Huu wimbo unatoka na Bado uko kwenu 😂😂 Basi ...read more



.artwork

12/05/2026

Call me Minister Drew 🎤🎧⚡ Available for MAGIGI and Recording sessions , simu ziite 🫴🏽 na muwahi maana nafasi ni chache 🤌🏽🥱

WE ULIONA WAPI GOLI K**A LILE LA  ? 😎Wanathiiiiiimbaa 🦁🦁Wanachama wa Chama 😁 Chama wa chama la masimba 😁
04/05/2026

WE ULIONA WAPI GOLI K**A LILE LA ? 😎
Wanathiiiiiimbaa 🦁🦁
Wanachama wa Chama 😁
Chama wa chama la masimba 😁




UMEMTAMBUA NANI KWENYE HIZI PICHA? PICHA YA NANI IRUDIWE ? 😊 .To God Be the Glory.Hizi ni picha nilichora zamani kidogo,...
03/05/2026

UMEMTAMBUA NANI KWENYE HIZI PICHA?
PICHA YA NANI IRUDIWE ? 😊
.
To God Be the Glory.

Hizi ni picha nilichora zamani kidogo, mwaka wa pili tangu nianze rasmi kuchora. Namshukuru Mungu kwamba pamoja na changamoto zake lakini bado wenye hizo picha walifurahi sana walipoziona

Mungu akubariki sana Kaka zangu na kwa Upendo mkubwa sana 💪🏽💪🏽💪🏽

Asante sana madam na kwa Upendo mkubwa namna ile 🥰

02/05/2026

Eti hapa anaongea na nani? 😁
HAYA WANASIMBA TUJIANDAE KUPIGA KELELE ZA USHINDI KWENYE MECHI YA JESHO 🦁🔥

26/04/2026

Kuna mstari mwembamba sana kati ya KUTIA MOYO na UNAFIKI 😂😂😂 ✍🏽🎨✨
Arting with God 🫀🎨😍



💪🏽

Address

P. O. Box 149 Mbeya
Mbeya
53125

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255747260413

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ivan Gallery posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Ivan Gallery:

Share

Category