16/02/2026
ππ
Kwa wale wenye mtoko Wa kwenda club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Dem, Utakayevutiwa naye HUKO bar Bila kusau ni lazima Utoe Hela hakuna Cha Bure Huko
1. Jiandae Usafi Na kuvaa k**a MTU anaeenda Na wakati Ni muhimu sana.kumbuka unaenda kwenye halaiki ya watu tena club usivae k**a unaenda kanisani au bungeni.
Unyunyu utakaokuwa Wa wastani utakupa maksi zaidi....Swala la Kunukia vizuri ni la muhimuno...mambo ya Uturi.
2. Kuwa kidume
Haina maana upige watu,la,jiamini ukiwa club usikae nyuma au kwenye kona,nenda kaunta..kaka pale mbele kwenye kiti kirfu ..Mamae.πβοΈ Kila mtu awe Anakuona Lakini pia usiiname muda wote,nyanyua kifua,usikae kwa kujibana hakikisha unachukua eneo kubwa iwezekanavyo.
3. Kuwa na furaha
Madem hawawapendi wanaume wenye huzuni,furahia maisha,hii itamvuta Dem kwako bila kujielewa!
4. Anza kwa kumuangalia machoni
Hakikisha unakutanisha macho! Usimwangalie k**a umebanwa Na mlango!!lainisha macho kisha angalia pembeni umpe nafasi ya kukuangalia vizuri, tabasamu!!,akitabasamu,tabasamu zaidi,mambo hayo!.sasa..Mamae.βοΈπ
5. Anza kumuandama
Hutakiwi kumfuata Moja kwa Moja alipokaa!msogeree kwa upandeupande la sivyo atakuona tishio!.
6. Teka hisia za marafiki zake
Aghalabu demu huja Na rafikize club,jitambulishe pia wafahamu wao
Kuwa mcheshi.
7. Muibe toka kwa marafiki zake
omba kuongea nae kando au k**a unaujuzi Wa kucheza mziki k**a mose iyobo muombe mkacheze, huko unajua cha kufanya,Au unaweza kusingizia hapo mlipokaa padogo!yap kisha wahamishie ktk himaya yako Huko utakuwa huru zaidi. K**a kuchukua contacts Na mengine Rukuki.
Chakumalizia TU ni kwamba Ikiwa utacheza vizuri, kuongezea Na maujanja mengine uwezekano Wa kuosha rungu ni mkubwa sana siku hiyo hiyo...ila Swala la Pesa haliepukiki...Lazima' toto linywe bia ..Lodge ulipe na Kifua chup Utoe .
fans