Kilwa Sanaa Group

Kilwa Sanaa Group Kilwa Sanaa Group ni kikundi cha sanaa kilicoundwa kwa lengo la kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha jamii. "SANAA NI WITO"

Kilwa Sanaa Group has been established with a general objective of not only educating but also entertaining society. The Group has not been intended to have any direct or indirect relationship with any existing political party. It is therefore expected that the group will work hand to hand with government and other stakeholders, fighting against the prevailing cross cutting issues facing our nation, such as HIV/AIDS, CORRUPTION, ENVIRONMENTAL DEGRADATION, DRUG ABUSE and others.

15/09/2025

Celebrating my 12th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

23/06/2025

Ususuani.

02/01/2025
Mwaka 2025 ukawe wa kheri na mafanikio tele.Heri ya mwaka mpya!
02/01/2025

Mwaka 2025 ukawe wa kheri na mafanikio tele.

Heri ya mwaka mpya!

19/08/2022

Hatimaye Bibi yetu Mlezi Bi Mwanakher Bint Ahmadi amezikwa leo katika makaburi ya Sanga, Kilwa Masoko.

Marehemu hatoweza kusahaulika na wana Kilwa Sanaa Group kwa mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kutupatia chumba kwa ajili ya shughuli za ofisi ya kikundi, pamoja na eneo la kufanyia mazoezi nyumbani kwake.

Inna Lillahi, wainna ilayhi raajiuun!

Kazi ya sanaa za mikono. Hongera Bi. Safina Kimbokota kwa kuendeleza kipaji chako na taaluma ya sanaa za ufundi.
10/04/2022

Kazi ya sanaa za mikono.
Hongera Bi. Safina Kimbokota kwa kuendeleza kipaji chako na taaluma ya sanaa za ufundi.

Kilwa Sanaa Group inakupongeza sana kwa ushindi huu mkubwa. Juhudi na weledi wako  katika fasihi andishi, hususan Riwaya...
27/01/2022

Kilwa Sanaa Group inakupongeza sana kwa ushindi huu mkubwa. Juhudi na weledi wako katika fasihi andishi, hususan Riwaya, tunazitambua.

Hongera sana, Halfani Sudy.

Kilwa Sanaa Group, inawatakia Watanzania wote kheri ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika!
09/12/2021

Kilwa Sanaa Group, inawatakia Watanzania wote kheri ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika!

Hongera sana Dr. Philip Isdor Mpango, kwa kuaminiwa na kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
30/03/2021

Hongera sana Dr. Philip Isdor Mpango, kwa kuaminiwa na kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hongera sana, pole na ...
19/03/2021

Tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hongera sana, pole na msiba!

Kilwa Sanaa Group, inaungana na Watanzania wengine katika kuomboleza msiba huu mzito wa Kiongozi Mkuu wa Nchi.Bwana amet...
18/03/2021

Kilwa Sanaa Group, inaungana na Watanzania wengine katika kuomboleza msiba huu mzito wa Kiongozi Mkuu wa Nchi.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!

Buriani Rais! 😭😭😭

Address

Masoko Urban
Kilwa

Telephone

+255786878168

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilwa Sanaa Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Kilwa Sanaa Group:

Share