Ngowi Idol

Ngowi Idol Tunajali hitaji lako bidhaa ni zetu sote

02/05/2026
02/05/2026
Safar inaendelea
02/05/2026

Safar inaendelea

Chuma hii hapa 1.3M Njoo chap
06/04/2026

Chuma hii hapa 1.3M
Njoo chap

24/02/2026

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

07/02/2026

Njoo tukuuzie simu kali kwa bei ya jumla na reja reja

Siku 490 zimepita tangu huyu mshabiki kindakikindaki wa manchester aweke ahadi kuwa atanyoa endapo manchester itashinda ...
07/02/2026

Siku 490 zimepita tangu huyu mshabiki kindakikindaki wa manchester aweke ahadi kuwa atanyoa endapo manchester itashinda mechi tano kwa mfululizo taarifa ni kuwa tangu carrick aipokee timu imeshinda mechi nne mfululuuuu sasa imebaki mechi na West ham je man U atashinda na jamaa kutimiza ahadi yake

Njooo upate simu kaliii kwa bei kitonga

Sumsung kuanzia 150,0000

Vivo kuanzia 70,000

Huawei 100,000

Oppo 100,000

Mzigo wa jumla na reja reja upoooooo

Wahi upate ofa yako leo

Kwan unasemajeTsh 300,000
07/02/2026

Kwan unasemaje

Tsh 300,000

Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti ...
07/02/2026

Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize kwanini anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliwekeana makubaliano na rafik zake wawili ambao aliishi na kufanya kazi pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti basi kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa basi awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafiki wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya vile vile.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabidi amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zake? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokua yeye ndo kaamua kuacha pombe...😁

Njoo na 150,000 simu kaliiii

Address

156 Mahenge
Ifakara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngowi Idol posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category