Wasanii dodoma

Wasanii dodoma wasanii dodoma

30/10/2021

New🎬🚨 TzVideo kuitazama/kuisikiliza NI NANI ya
FT
&
; Bofya Bio zetu kwenda kuitazama au Twende HAPA πŸ‘‡πŸΎ

https://youtu.be/_I2P9HfXDso

Produced by
Video Directed by:

Rap music
NI NANI

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯🎢🎡🎹🎞️

Ngoma mpya toka dodoma anaitwa Black Desert ft Chindo Man_Mabalaa{Prod_Double}Twende sawa icheck
29/06/2014

Ngoma mpya toka dodoma anaitwa Black Desert ft Chindo Man_Mabalaa{Prod_Double}Twende sawa icheck

04/11/2013

Dodoma kimeanza kilinge kinafanyika jumamosi hii hapa ya tarehe 5,11,2013 karibia na chuo cha capital mailimbili njoo 2jumuike kwenye utamaduni wetu wa hiphop k**a ww mc au mdau wa muziki unakaribishwa sana hakuna kiingilio ni bureeeeeeee au kwamaelezo zaidi k**a upo dom na unataka kushiliki weka number yako kwenye coment then nitakucheck shukran wa2 wangu

25/10/2013

kesho jumamosi msanii mkali mwenye mwili mkubwa namzungumzia Big born 90 atakuwepo kwenye interview radio abm fm dodoma 91.2 so stay tune kuanzia saa 4 asubuhi nakuendelea

25/10/2013

muwakilishi wa super nyota kutoka dodoma jacko beats yupo kwenye fainali siku ya leo tumuombee afanye vizuri ameeeeein

21/10/2013

hii page itasaidia kukuza muziki wa dodoma itawapa wasanii uhuru wa kuongea chochote na kudiskasi game inapoelekea na kuwapa fursa wasanii kuwapa taarifa za game yake na habari zake shukrani kwa wote mtakao like hii page pa 1sana

Address

Barabara Ya 12
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wasanii dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category