Super sally group of intertainment.

Super sally group of intertainment. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Super sally group of intertainment., Dodoma.

15/06/2018

Sally's group of entertainment..
Tumerudi tena....
Zamu hii ni hivi;
Tunao mpango kabambe wa kuchangisha DAMU sehemu tofauti za Tanzania kwa kupitia ligi ndogo za soka mitaani na vyuoni...
Itakuwaje hii...???

ADA YA USHIRIKI.
Hii wala sio pesa.. Kikosi kitachoshiriki ligi hii kitachangia DAMU tu, hapo kitakua kimekamilisha ADA ya ushiriki..

IDADI YA TIMU:
TIMU shiriki zitakuwa kumi tu.
Isipokua k**a waandaaji wanatangaza vinginevyo..

UDHAMINI:
Kila timu itapewa jezi za aina mbili tofauti, na mipira miwili..

MASHARTI MENGINEYO:
TIMU moja iwe na wachezaji kuanzia 20...

MGAWANYO WA ZAWADI:

BINGWA; KOMBE na PESA TASLIMU.

MSHINDI WA PILI:
PESA TASLIMU.

MSHINDI WA TATU:
JEZI NA MPIRA.

Hapo vipi...???
Inaitwa DAMU SALAMA CUP....
Chini ya SALLYS GROUP OF ENTERTAINMENT... SGE.. Twende kazi...

23/02/2016

Baada ya kumpata mrembo mwenye mvuto na shape ya kuvutia wa vyuo vya dodoma mjini, xaxa n zamu ya kupata washiriki wa shindano hili kwa kanda ya kati, ambapo 2takua na washiriki kutoka mikoa ya tabora, singida, na dodoma, kumxaka malkia wa mvuto na umbo la kuvutia.
Ahsante DSTV DOM, PSI DOM, URIYO ENTERTAINMENT, HALOTEL TZ, WINDHOECK BEER, HOTEL 56 DOM, NA KIDOTI SPOT FASHION kwa kudhamin mashindani mashindano haya.

USQ Tanzania leo tumepiga hatua nyingine kuelekea kukamilisha maandaliz ya lile shindano kubwa hapa nchin la UNIVERSITIE...
04/07/2015

USQ Tanzania leo tumepiga hatua nyingine kuelekea kukamilisha maandaliz ya lile shindano kubwa hapa nchin la UNIVERSITIES SHAPE QUEENS, baada ya kufanikiwa kupata usajili wa kisheria na umiliki halali wa Project hii.
Tukiwa na team yetu nzima leo pia tumefanikiwa kupata ukumbi (Venue) ambako litaanzia shindano hili(Dodoma) ni kaktika hotel moja maarufu yenye hadhi kubwa hapa mjin na tanzania nzima.
Hii n hatua kubwa tulioifikia.
Maandaliz yanaenda vizuri sana, na ndio mwanzo mzuri wa kufika vyuo vinavyofuata.
Endelea ku-like na kualika marafiki zako ili ulipo iwe ni sehemu ya pili kukufikia baada ya dom.
(USQ Tanzania, prefferencial option for the youth).

UNIVERSITY SHAPE QUEEN TANZANIA.....Dodoma mpo......???? Get prepared.Sio kila siku miss university tu, a new is there n...
03/07/2015

UNIVERSITY SHAPE QUEEN TANZANIA.....
Dodoma mpo......???? Get prepared.
Sio kila siku miss university tu, a new is there now. Like ili twende sawa.

02/07/2015

Wapenz wa burudan kote nchini. Like page yetu mpya leo ili buridan zikufikie ulipo kupitia the super sally group of intertainment.
Tutaendelea kukujuza juu ya shindano kubwa katika vyuo vyote tanzania litakaloandaliwa ktk kila mkoa tanzania( vyuon), after hapo washind kumi wa kwanza kutoka katika vyuo mkoa, watashindana kikanda, mf. Kanda ya kati ambapo watakutana dodoma, na washind kumi kutoka katika kila kanda ya tanzania, watashindana kumpata mshindi wa tanzania nzima(vyuon).
Team yetu imeshauriana kuanza na vyuo vya kanda ya kati.(dodoma, singida, na mikoa yote ya kanda ya kati).
Karibu u-like page yetu leo, na ualike marafiki zako wa-like page yetu ipate sapoti, tukufikie.

Address

Dodoma

Telephone

0654421046

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Super sally group of intertainment. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share